Uchaguzi 2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Mpaka October ifike ccm watakuwa wamenyooka.
 
Wanachama milioni 17?
Hao ni wanachama au mnahesabu majani ya miti?
Kwa taarifa yako,daftari la wanachama hai wa mbogamboga ni milioni 4.8.
Hadaa toka makada wa chama kile ni vitu vya kawaida ili wajijengee uhalali wa mambo yao!! Ikiwa wana wanachama 17m je wote wanawapenda wagombea wao na hakuna matabaka? Je jumla ya waliojiandikisha daftari la kura ni wangapi? Je ikiwa wana hilo "rundo" la wanachama iweje watake kupita bila kupingwa?
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Propaganda
 
Wakati akiwa katika peak ya kupendwa alipata kura milioni 8 tu! Leo baada ya kutesa watu kwa maelfu, kuua watu lukuki, kutumbua watu kwa uonevu, kutesa watu kwa upendeleo, kukandamiza vyombo vya habari ndio utegemee apate kura milioni 17 hahahaha....! Haitatokea Duniani. This time atapata milioni tatu tu !
Ndio maana tulimwambia mwenyekiti atukatie mkia Huyo Lissu,atuachie akina Lioumba ,Rungwe na wengineo.Sisi wenyew tuliyajua hayo.Kura tunazotegemea za vijijini tu mi
 
Wakati akiwa katika peak ya kupendwa alipata kura milioni 8 tu! Leo baada ya kutesa watu kwa maelfu, kuua watu lukuki, kutumbua watu kwa uonevu, kutesa watu kwa upendeleo, kukandamiza vyombo vya habari ndio utegemee apate kura milioni 17 hahahaha....! Haitatokea Duniani. This time atapata milioni tatu tu !
milion tatu zitoke wap? labda za wizi. huyo hata wana ccm wanaojielewa hawampi kura.
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Hakunaga mwana CCM snitch na pumbavu pita hivi .......chadema mtapata tabu sana safari hii.
 
Walisema...Mimi Sikusema,kwani Kuna Mtu Anayebisha kuwa CHADEMA Si Chama kikuu Cha upinzani?!!
Km Sivyo,Mgombea Wake Wa Urais Si TAL?!!

CCM Haiogopi Na Haijuti Kupambana Kisiasa na TAL...

Kampeni Ya Kisayansi Imefana na TUKIELEKEA DURU lifuatalo Kwa Kujiamini na wale WANACHAMA MILIONI 17 Nchi Nzima.....

Muda UTAONGEA!!
Turn out ya voters uchaguzi huu kama watafika hata millioni kumi sidhani.
 
Lissu ni mwepesi tu kwa wenye maarifa na elimu kubwa.

Ukiwa mtu ambaye huna tabia ya kujiongeza kimaadifa utamuona Lissu kama ana uwezo mkubwa lakini ukiwa na maarifa utamgundua ni wa kawaida tu.

Serikali ya awamu ya tano ipo kisayansi zaidi na haimpi nafasi ya kuwajaza uongo watu, hoja zake zinajibiwa kwa wakati ule ule zinapotolewa.
Kuteka wagombea na kuwaengua ndiyo science unayoizungumzia siyo ?
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Wewe na wenzio wenye mawazo ya aina hiyo mnastahili kulaaniwa. Tena asiwepo wa kuiondoa kwenu.
 
Kwanini utoe ushauri kwamba Tundu akatwe na tume? Kila mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa mujibu wa katiba, kwahiyo kila mtu afanye kampeni tarehe 28 October wananchi tutamua nani anatufaa
 
Sofar lisu hajafankiwa kumchallenge Magufuli kabisa.

Magufuli's record is impeachable.
 
Kuteka wagombea na kuwaengua ndiyo science unayoizungumzia siyo ?
na kuwaambia tume ya uchaguzi wasiwatangaze wapinzani hata kama watashinda.
ngoja mwaka huu wafanya huo upuuz halafu wasubirie wapinzani wamwachie Mungu. mwaka huu ni kukiwasha tu ndani na nje.
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
too little too late. tulilikoroga hatuna budi bali kulinywa tu comrade.

hapa viunga vya Lumumba kila mtu anapambana na hali yake aisee!
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami

Kumbe nyie washauri wake mlimshauri alafu akakataa ushauri wenu? Yawezekana mmemkera sana kwa maamuzi mnayompelekea ili ayafanye.
Ona sasa anavyomwadhibu aliyemweka mpaka imebidi apumzike hasije akaanguka kwenye majukwaa.
 
na kuwaambia tume ya uchaguzi wasiwatangaze wapinzani hata kama watashinda.
ngoja mwaka huu wafanya huo upuuz halafu wasubirie wapinzani wamwachie Mungu. mwaka huu ni kukiwasha tu ndani na nje.
Hii tume ya uchaguzi imejaa wapuuzi wengi sana.
 
Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu.

Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio wewe mwenyewe sasa utafute namna na uhakikishe Lissu hashindi uchaguzi huu. Tulikushauri hukusikia sasa pambana na hali yako kwa sababu umejipa kazi uliyoitaka, sisi wana CCM hatuwezi tena kupambana naye, wewe NA wasaidizi wako naomba pambanane huko, kuhakikisha jahazi halizami
Delete ccm Oct 28
 
Kuna kila dalili waliokuwa wanachama wa CCM ambao wako segerea,walikuwa wafanyabiashara,watumishi walitia Nia ,wanaccm wanaonja Manisha magumu,waliokosa ajira ni wafuasi wa TL.
 
Back
Top Bottom