Mwenyekiti Mpya wa CC


Judgement siku hizi ukoje?huna break wewe
 
Last edited by a moderator:
ukaguzi tutaufanya tu kwani tumekwambia tutashindwa
wewe walete wenye miili kama small body au bigibodi?
watakaguliwa na hasa ukimleta bigbody kama Asprin ndo
atakakuguliwa kirahisi kwani yeye ana makeke sana
Binamu uoni tatizo hapo ...? Unafikiri ukaguzi utafanyikaje?
 
Last edited by a moderator:
kumbe umeshakumbuka mzigo ulioniachia 31/12/2013 wakati wa kiangazi
halafu tarehe 1/1/2014 nikiakupigia simu kukwambia kuwa umenipa mimba
ukakataaa na kuruka kiunzi mita1000 bora umesema mwenyewe jamvini
wameshaelewa kuwa nina mimba yako na ukiikataa nakwenda POLICE POST

 
Na nyingine zimeandikwa tutabanana hapa hapa,
si unaona hatare iliyopo lakini.

hahahaaaaaa na kanga zenyewe zina maneno mara ooh'ukinuna wenzio twala' au 'amekushinda ngoja mimi nimuoneshe malezi'kweli hapo kazi mpo
 
Na nyingine zimeandikwa tutabanana hapa hapa,
si unaona hatare iliyopo lakini.
hilo nimeliona na mwisho wa siku midomo inabinuliwa+kusonya baadaye mnageuka akina fransis cheka patamu hapo teheteheteheeeeeeee
 

Napinga hoja! Kwa kuzingatia haya:-

Mwenyekiti ladydoctor Amefukuzwa mtaani kwa sababu ya ubeya.
-Mwenyekiti msaidizi Mamndenyi.Huyu hawafai anakikundi cha kuiba viatu kwenye misiba.
-Katibu ladyfurahia.CV yake sio nzuri naye haipiti wiki bila kusutwa.
-Katibu Passionlady Huyu ana kaptula yake inamfuko kwa mbele anajulikana kwa kukuliza maduka pale mlimani city.
-Mtunza hazina huyu AMU anatafutwa mtaani kwao amekimbia na hela za mchezo.
-Mtunza hazina msaidizi chaminglady- huyu hata makampuni ya simu yanamfahamu kwa kukopa salio na kutupa line.

Uamuzi ni wenu.
 
Last edited by a moderator:
lol..asante kwa kunifanya nicheke peke yangu asee
 

hahaaa!!we charger weweeeeee!!!!???
kaptula yangu mi navaaga tu badala ya pichu bana!!
mwaka huu wanawake tutawaongoza ole wenu!!mtakula
ban mshindwe wenyewe!

 

hahaaa!!we charger weweeeeee!!!!???
kaptula yangu mi navaaga tu badala ya pichu bana!!
mwaka huu wanawake tutawaongoza ole wenu!!mtakula
ban mshindwe wenyewe!


Teh teh haaa bana nyie waonezi uteuzi haujazingatia gender equality wala equity.
 
mbona sikuelewi ndugu yangu dawa zipi hizo?
kwani thread zangu zikoje bestito? nambie

Ingawa ni Chitchat,nashawishika kuamini kuwa una matatizo ya kisaikolojia dhidi ya wanaume {una hasira nao pasipo sababu}
ladyfurahia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…