Mwenyekiti Mpya wa CC

hutakubali mtake msitake tumechoka na ninyi WANAUME uongozi wenu ubabaishaji mtupu hamna lolote wala chochote mnajali matumbo yenu tu saa imefika ya sisi WANAWAKE kuchukua uongozi mwaka 2014 ili tuwaoneshe kuwa tunaweza

Binamu sio hivyo, hapo mnatunyanyapaa....
 
Aisee mm napenda kuongozwa nina nidham ya hali ya juu, nimewatambua viongozi wangu kwa heshima zote!
 
Imekaa kama kimfumo mfumo fulani hivi;
au ndo hiyo inaitwaga beijinyi imeshika hatamu;
au ndo ile ya wanawake juu na wanaume chini;
 
hahahahahahaaaaaaaaa bestito bhana
mwaka huu tumeona tuingie wenyewe mjengoni kwani hawa wenzetu
tunaona kazi imewashinda kabisa na bora sisi wanawake tunaweza
kuleta mambo mapya humu mjengoni wewe kaa katika wadhifa wako

na nilibakiza sehemu ya mshauri atakuwa sista Preta kwani naona panamfaa
Imekaa kama kimfumo mfumo fulani hivi;
au ndo hiyo inaitwaga beijinyi imeshika hatamu;
au ndo ile ya wanawake juu na wanaume chini;
 
Last edited by a moderator:
umenifananisha bestito siyo mm mm nimesoma mito ya mbu mtwara
kwa huyo unayemtaja labda tunashahabiana mantiki tu na isitoshe
mm ni msaikolojisti bestito upo hapo? na vilevile mm ni muendesha ndege za watu wa juu
umeonaeeeeeeeeee unataka nikupe cheo kingine?
Ladyfurahia nakufananisha sana na binti mmoja tumesoma nae Shinyanga. A-level
Sema yeye alikuwa HKL.
hivi ni wewe? michecheto yenu inafanana sana kama ndiye, hebu niPM uniambie kuhusu ile kitu ya mangi. ulioniambia
 
Niko na wakili wangu nikisaidiwa na mke wangu tunapeana ushauri wa kisheria nahtaji kuwasilisha pingamizi.uongozi umekaa kinyinyiemu sana.
 
hahahahahhahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u
umenichekeshaje bestito kumbe ndo hayo ? nilikuwa sijui
sasa unataka cheo chako tumpe nani amua wewe sasa?
Nikuambie kitu,
Mie cheo sitaki;
moja kwa moja umeshaniweka na mtu aliyeninyang'anya mume
hivi hiyo ofisi tutaweza hata kufanya kazi au ndo kuvaliana
kanga za misuto misuto tu;
 
weeeeeeeeee acha kuleta udikiteta hapa
hujui kuwa sisi tumevaa magandwa ya kimeru?
Niko na wakili wangu nikisaidiwa na mke wangu tunapeana ushauri wa kisheria nahtaji kuwasilisha pingamizi.uongozi umekaa kinyinyiemu sana.
 

Yaan tangu mwaka huu uanze leo nimekupenda maradufu cousin!!!!!!!!!!
 
Nikuambie kitu,
Mie cheo sitaki;
moja kwa moja umeshaniweka na mtu aliyeninyang'anya mume
hivi hiyo ofisi tutaweza hata kufanya kazi au ndo kuvaliana
kanga za misuto misuto tu;
hahahaaaaaa na kanga zenyewe zina maneno mara ooh'ukinuna wenzio twala' au 'amekushinda ngoja mimi nimuoneshe malezi'kweli hapo kazi mpo
 
Then mletamada akiulizwa swali na wanaume hapa majibu yake ya ukaliukali tu , hiyo peke yake ni kigezo ni mjamzito!
Mimba jamani zina mambo mengi .
Ndiyo kusema hata hili wazo kalileta kwa nguvu ya mimba.
So far the matter proceedin are completely void !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…