Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

Uruguay

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
28
Reaction score
10
Makamanda
Jana asubuhi nilileta uzi unaosema(m/kiti cdm mkoa wa singida avuruga uchaguzi iramba)sasa leo naweka wazi mipango yote michafu iliyoandaliwa na Kitila Mkumbo na Shaban Lyimo(m/kiti cdm mkoa wa singida)

Wakati wa kikao cha halmashauri kuu ya ACT kilichofanyikia singida mjini ndg shaban alikutana na kitila na akampatia vifaa vya ACT(tshirt,kadi-2000) pia walipanga hujuma juu ya uchaguzi wa CDM iramba kuhakikisha nguvu ya wapambanaji walioko iramba inahamia ACT kwa kuwaangusha kwenye uchaguzi ambapo tayari jana wamefanikiwa kwa kuwaangusha waliokeeneza na kukipa jina chama iramba wamehujumiwa akiwemo Kamanda malume,Mama mande,Mzee mnyiramba,Pastora mchani,Abdalah sarai,Godfrey Mushi na Elia baltazari na tayari wameanza kupigiwa simu na mawakala wa ACT wanaojitambulisha kwa majina ya Gryson nyakarungu,mchange habibu na kitundu(aliejiuzuru uenyekiti wa mkoa na kwenda ACT)

IKUMBUKWE KUWA BAADA YA KIKAO CHA ACT NDG SHABAN ALIWAPELEKA GEREZA LA MKOA KUWASALIMIA MAKAMANDA WA CDM WALIOSHEKWA MAHABUSU
 
Wacha wahame,wanadhani wakihama wananchi nao wanahama?imekula kwao,wananchi ni cdm damdam,.
Hawa act ninawashangaa sana,wanatumia umaskini Wa viongozi Wa cdm kuwalaghai,watachukua viongozi tu kwa wananchi wameshaeleweka ni majambazi yanayofadhiliwa na ccm,hivyo basi,cdm itabaki kuwa imara kwa wananchi.
 
ACT wanahangaika sana aisee, mimi bado najiuliza mbona hawafanyi mikutano ya wazi ili kushawishi umma wajiunge na kwa sera zao, wao wanaweka mikakati ya kuwachukua wanachama wa cdm tu? kweli kazi tunayo.
 
ACT-Tanzania wana sera nzuri kuliko za chadema na cuf..
 
Wacha wahame,wanadhani wakihama wananchi nao wanahama?imekula kwao,wananchi ni cdm damdam,.
Hawa act ninawashangaa sana,wanatumia umaskini Wa viongozi Wa cdm kuwalaghai,watachukua viongozi tu kwa wananchi wameshaeleweka ni majambazi yanayofadhiliwa na ccm,hivyo basi,cdm itabaki kuwa imara kwa wananchi.

Mimi si mwachama ni raia tu wa kawaida ila act damuni
 
Jifunzeni kufanya siasa za kistaraabu na kutatua matatizo yenu bila kusingizia watu wengine. Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Singida nimefanya nao kazi kwa muda mrefu na tulijenga urafiki, sio uadui.
Pamoja na kwamba tupo vyama tofauti kwa sasa, urafiki na undugu wetu haujaisha. Kwa hiyo tunaendelea kuwasiliana na kukutana inapobidi. Nilipokuwa Singida tulikutana na Shaban Limu, tukazungumza kama kawaida na kisha tukaenda kuwasalimia ndugu zetu waliopo gereza la Singida.
Nikutaarifu pia kwamba naendelea kufanya kazi kwa karibu kabisa na Mhe. Mnyika katika kushughulikia tatizo la vijana wetu waliopo Singida na tunaendelea kuwasiliana kwa jambo hili. Bado nina marafiki wa kutosha makao makuu ya CHADEMA na tunazungumza na kubadilisha mawazo.
Tofauti zetu za kimsingi katika mambo ya kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa hazina uhusiano kabisa na ubinafsi wetu kama binadamu. Siasa sio uadui, ni tofauti za kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa.
 
Kitila,Hongera kwa kujitokeza mkuu,toa ufafanuzi juu ya haya;-
*Ni mazunguzo gani yaliyopelekea kupeana vifaa vya ACT ambavyo vilipelekwa Iramba tar 6 mwezi huu na kukabidhiwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Ndago alietimuliwa na CHADEMA na kuhamia ACT(kwa sasa ndie katibu wa ACT Iramba)?
*Tueleze ni maagizo gani uliyompa katibu wa ACT hayapeleke kwa ndugu Ally Gessy juu ya uchaguzi wa CHADEMA Iramba?
 
Dr Mkumbo vijana wetu wengi hili jambo hawalijui vizuri tunadhani kuwa mtu akitofautiana mawazo na sisi anakuwa adui yetu, hili jambo ni ushamba na siasa nyepesi tunatofautiana mawazo na bado tunabaki kuwa marafiki na undugu wetu unaendelea. Sasa kila mtu akiwa msaliti basi democrasia imefeli. Itikadi yetu iwe sehemu ya kujenga ustawi wa jamii na siyo magonvi na vituko.
 
Sioni tatizo kiongozi kuhamia chama kingine kwani kuna wanachama wengi tu ambao wana uwezo wa kuziba nafasi hizo. Ni jambo zuri kwa chama kama viongoziwasio na imani nachama kujiengua mapema kuliko kuendelea kushika uongozi hukuwanakidhoofisha chama.
 
Nashukuru umekubali ACT mlikutana na Shaban limyo
 
Dr Mkumbo vijana wetu wengi hili jambo hawalijui vizuri tunadhani kuwa mtu akitofautiana mawazo na sisi anakuwa adui yetu, hili jambo ni ushamba na siasa nyepesi tunatofautiana mawazo na bado tunabaki kuwa marafiki na undugu wetu unaendelea. Sasa kila mtu akiwa msaliti basi democrasia imefeli. Itikadi yetu iwe sehemu ya kujenga ustawi wa jamii na siyo magonvi na vituko.

Kaa kimya gamba wewe huna hoja
 
Jifunzeni kufanya siasa za kistaraabu na kutatua matatizo yenu bila kusingizia watu wengine. Viongozi wa CDM Mkoa wa Singida nimefanya nao kazi kwa muda mrefu na tulijenga urafiki, sio uadui. Pamoja na kwamba tupo vyama tofauti kwa sasa, urafiki na undugu wetu haujaisha. Kwa hiyo tunaendelea kuwasiliana na kukutana inapobidi. Nilipokuwa Singida tulikutana na Shaban Limu, tukazungumza kama kawaida na kisha tukaenda kuwasalimia ndugu zetu waliopo gereza la Singida. Nikutaarifu pia kwamba naendelea kufanya kazi kwa karibu kabisa na Mhe. Mnyika katika kushughulikia tatizo la vijana wetu waliopo Singida na tunaendelea kuwasiliana kwa jambo hili. Bado nina marafiki wa kutosha makao makuu ya CDM na tunazungumza na kubadilisha mawazo. Tofauti zetu za kimsingi katika mambo ya kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa hazina uhusiano kabisa na ubinafsi wetu kama binadamu. Siasa sio uadui, ni tofauti za kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa.
hili swala la siasa si uadui, ni jambo la kuliangalia kwa upna...labda kwa nchi zilizo endelea, ni mara ngapi watu wamepoteza maisha katika swala la mambo ya siasa...tusikalili mambo. kwa upande mwingine siasa ni kitu cha htari sana, kwahiyo siasa poia inaweza kuwa uadi au kpoteza maisha... hivi nadhani kuongeza wanachama ni lengo muhimu la chama cha siasa...ukaribu wako na hao watu hautumii fursa kuwa vuta kwenye ckchama chenu?
 
Kweli siasa siyo uadui,but nyie wasaliti wa harakati za mapinduzi pamoja MM1 hamufai kabisa,naskitika sana ulikuwa role model wangu nilipogungua na kujirizisha wewe ni kipeperushi cha CCM iliniuma sana. Time will tell,na hakika husitahili kabisa kufanya unachokifanya.
 
Dr. Kitila Ww na mwenzako Zitto ni wazuri sana kwenye maneno ila kwenye kisogo ni hatari kwa mambo mnayo yafanya kuwalaghai viongozi wa chadema hamwezi kufanikiwa kamwe Kwani kuna nguvu kubwa sana Ya vijana inakuja nyuma na wananchi wa leo si wajuzi mivutano yoote inayoendelea wanafunguka kiakili.
Twajua kuwa ilishasemekana kuwa CDM itakufa kabla Ya 2014 na ninaimani waliokuwa wakiongea walijua bega kwa bega tayari washawanunua lakini lakini kwa kuwa tulianza na mungu na tupo na mungu na tutamaliza na mungu mpango wenu ukafail.
Kwa mambo unayo yaendesha Dr. Kitila heshima yako ni sawa na hakuna kitu kwa kuwa hutumii tena akili yako kufanya hata hayo Ya kistaarabu unayo yaongelea bali umevaa ngozi Ya kondoo mwitu Ya UCCM B.
Kumbuka Ww ndo ulikuwa umng'oe Mwigulu kwenye jimbo Lake na yeye ndo kakulaghai sasa kati yako Ww na Mwigulu nani Dr. Hapo?
 
Mkuu kitila ana uchu mkali wa madaraka hivyo hawezi kukujibu chochote
 
Kweli siasa siyo uadui,but nyie wasaliti wa harakati za mapinduzi pamoja MM1 hamufai kabisa,naskitika sana ulikuwa role model wangu nilipogungua na kujirizisha wewe ni kipeperushi cha CCM iliniuma sana. Time will tell,na hakika husitahili kabisa kufanya unachokifanya.

Nakusikitikia hukumjua mapema rangi yake halisi,huyu ni mtu hatari sana
 
Dr. Kitila Ww na mwenzako Zitto ni wazuri sana kwenye maneno ila kwenye kisogo ni hatari kwa mambo mnayo yafanya kuwalaghai viongozi wa chadema hamwezi kufanikiwa kamwe Kwani kuna nguvu kubwa sana Ya vijana inakuja nyuma na wananchi wa leo si wajuzi mivutano yoote inayoendelea wanafunguka kiakili.
Twajua kuwa ilishasemekana kuwa CDM itakufa kabla Ya 2014 na ninaimani waliokuwa wakiongea walijua bega kwa bega tayari washawanunua lakini lakini kwa kuwa tulianza na mungu na tupo na mungu na tutamaliza na mungu mpango wenu ukafail.
Kwa mambo unayo yaendesha Dr. Kitila heshima yako ni sawa na hakuna kitu kwa kuwa hutumii tena akili yako kufanya hata hayo Ya kistaarabu unayo yaongelea bali umevaa ngozi Ya kondoo mwitu Ya UCCM B.
Kumbuka Ww ndo ulikuwa umng'oe Mwigulu kwenye jimbo Lake na yeye ndo kakulaghai sasa kati yako Ww na Mwigulu nani Dr. Hapo?

Alitangaza nia ili apewe mpunga auze jimbo kwa nchemba
 
Back
Top Bottom