Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

Jifunzeni kufanya siasa za kistaraabu na kutatua matatizo yenu bila kusingizia watu wengine. Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Singida nimefanya nao kazi kwa muda mrefu na tulijenga urafiki, sio uadui.
Pamoja na kwamba tupo vyama tofauti kwa sasa, urafiki na undugu wetu haujaisha. Kwa hiyo tunaendelea kuwasiliana na kukutana inapobidi. Nilipokuwa Singida tulikutana na Shaban Limu, tukazungumza kama kawaida na kisha tukaenda kuwasalimia ndugu zetu waliopo gereza la Singida.
Nikutaarifu pia kwamba naendelea kufanya kazi kwa karibu kabisa na Mhe. Mnyika katika kushughulikia tatizo la vijana wetu waliopo Singida na tunaendelea kuwasiliana kwa jambo hili. Bado nina marafiki wa kutosha makao makuu ya CHADEMA na tunazungumza na kubadilisha mawazo.
Tofauti zetu za kimsingi katika mambo ya kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa hazina uhusiano kabisa na ubinafsi wetu kama binadamu. Siasa sio uadui, ni tofauti za kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa.

Huna lolote mnafiki wewe. Utakufa wewe Chadema utaiacha......!
 
hili suala lina ukweli ndani yake. cdm ilichunguze then ichukue hatua. kitila sasa ni wakala wa ccm.
 
Dr Mkumbo vijana wetu wengi hili jambo hawalijui vizuri tunadhani kuwa mtu akitofautiana mawazo na sisi anakuwa adui yetu, hili jambo ni ushamba na siasa nyepesi tunatofautiana mawazo na bado tunabaki kuwa marafiki na undugu wetu unaendelea. Sasa kila mtu akiwa msaliti basi democrasia imefeli. Itikadi yetu iwe sehemu ya kujenga ustawi wa jamii na siyo magonvi na vituko.

Kaa kimya nyau wewe.... Siasa nyepesi umekuja kuzijulia jf? Nenda kawafundishe siasa nzito ma interahamwe wenzio
 
Eti CDM lazima ife,kumbe tangu 2010 mnainadi CDM majukwaa afu usiku munaanza harakati za usaliti. Nampongeza sana Dr.Slaa bila yeye na kamanda MBOWE mngekuwa mnachekelea leo.Ndiyo maana mnaimba eti wamekiharibu chama kumbe mnataka waondoke ili mfanikiwe malengo yenu. Na Tundu lissu atawadhibiti ipasavyo labda mpange njama ovu kwake kama tabia zenu.

ETI siasa siyo uadui wakati mnafanya mambo ya kipuuzi pamoja na kusingizia mambo ya Ukabila. Wananchi tumeshawasoma nyie ni wanafiki. Dr. Slaa,Na Mbowe ndiyo kiboko yenu.

Mkuu kwa Slaa na Mbowe ukipeleka pua yako ya kinafiki nafiki unachinjiliwa mbali...
 
Kitila,Hongera kwa kujitokeza mkuu,toa ufafanuzi juu ya haya;-
*Ni mazunguzo gani yaliyopelekea kupeana vifaa vya ACT ambavyo vilipelekwa Iramba tar 6 mwezi huu na kukabidhiwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Ndago alietimuliwa na CHADEMA na kuhamia ACT(kwa sasa ndie katibu wa ACT Iramba)?
*Tueleze ni maagizo gani uliyompa katibu wa ACT hayapeleke kwa ndugu Ally Gessy juu ya uchaguzi wa CHADEMA Iramba?
Uruguayi acha upotoshaji na uongo, chadema bila siasa za uongo na kueneza chuki hamuwezi kuishi. chama kinapukutika nyinyi mmekalia majungu
 
Uruguayi acha upotoshaji na uongo, chadema bila siasa za uongo na kueneza chuki hamuwezi kuishi. chama kinapukutika nyinyi mmekalia majungu

Hivi wewe kibaraka wa Zitto umesoma majibu haya ya kitila?

quote_icon.png
By Kitila Mkumbo

Jifunzeni kufanya siasa za kistaraabu na kutatua matatizo yenu bila kusingizia watu wengine. Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Singida nimefanya nao kazi kwa muda mrefu na tulijenga urafiki, sio uadui.
Pamoja na kwamba tupo vyama tofauti kwa sasa, urafiki na undugu wetu haujaisha. Kwa hiyo tunaendelea kuwasiliana na kukutana inapobidi. Nilipokuwa Singida tulikutana na Shaban Limu, tukazungumza kama kawaida na kisha tukaenda kuwasalimia ndugu zetu waliopo gereza la Singida.
Nikutaarifu pia kwamba naendelea kufanya kazi kwa karibu kabisa na Mhe. Mnyika katika kushughulikia tatizo la vijana wetu waliopo Singida na tunaendelea kuwasiliana kwa jambo hili. Bado nina marafiki wa kutosha makao makuu ya CHADEMA na tunazungumza na kubadilisha mawazo.
Tofauti zetu za kimsingi katika mambo ya kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa hazina uhusiano kabisa na ubinafsi wetu kama binadamu. Siasa sio uadui, ni tofauti za kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa.
 
c Hapo Mr .Kitila umenena vizuri sana siasa sio uadui au kuchjukiana na kwa kuongezea zaidi pia sio kuoneana wivu mfano nimesoma posts za wachangiaji wengi hapa maandiko yao mara nyingi huonyesha chuki za kibinafsi dhidi ya viongozi wa nchi yetu na kama hamuniamini hebu jaribuni kutembelea tena topik zinazomhusisha rais Jakaya Mrisho Kikwete ujionee matusi na kashfa dhidi ya kiongozi huyu na wengine wengi ndani ya serikali.Huo ni ufinyu mkubwa sana wa kufikirii yaani unakuta hata uzalendo umeisha tutoka tuko tayari kuishangilia timu ya wageni dhidi ya timu inayobeba bendera ya nchi yetu wenyewe kisa rais ni mswahili JK yaani mswahili hafai kuwa rais Tanzania.Binafsi nilikuwa nina nia kubwa ya kujiunga na CDM lakini muenendo wa baadhi ya wanachama wake especially hapa bodini umenifanya nifikirie mara mia moja kabla ya kuamua kujiunga na chadema.Kumbukeni mtanzania mmoja akifa kwa kukosa matibabu au akifa kwa njaa atakuwa ni mtanzania kafa na sio kweli kuwa itaandikwa mccm kafa au mchadema kafa kwa njaa vyama pekee vya kisiasa au imani zetu za kuabudu isiwe ndio njia ya kututofautisha sisi watanzania.M/Mpamba.
 
c Hapo Mr .Kitila umenena vizuri sana siasa sio uadui au kuchjukiana na kwa kuongezea zaidi pia sio kuoneana wivu mfano nimesoma posts za wachangiaji wengi hapa maandiko yao mara nyingi huonyesha chuki za kibinafsi dhidi ya viongozi wa nchi yetu na kama hamuniamini hebu jaribuni kutembelea tena topik zinazomhusisha rais Jakaya Mrisho Kikwete ujionee matusi na kashfa dhidi ya kiongozi huyu na wengine wengi ndani ya serikali.Huo ni ufinyu mkubwa sana wa kufikirii yaani unakuta hata uzalendo umeisha tutoka tuko tayari kuishangilia timu ya wageni dhidi ya timu inayobeba bendera ya nchi yetu wenyewe kisa rais ni mswahili JK yaani mswahili hafai kuwa rais Tanzania.Binafsi nilikuwa nina nia kubwa ya kujiunga na CDM lakini muenendo wa baadhi ya wanachama wake especially hapa bodini umenifanya nifikirie mara mia moja kabla ya kuamua kujiunga na chadema.Kumbukeni mtanzania mmoja akifa kwa kukosa matibabu
CDM HATUITAJI WANACHAMA VILAZA KAMA WEWE
 
uruguay na tenende, mnaamini kweli nyinyi ni chadema, chadema wenyewe hawana muda wa kupiga kelele humu, wametanguliza migambo yao ambao mnajiona ni sehemu ya chadema. endeleeni na unyenyekevu mlio nao ina wezekana mtakumbukwa. ila ushauri wa bure muwe tayari kupokea mawazo kinzani, chadema sio malaika lakini pia sio mashetani bali ni binadamu hivyo wanayo mengi mazuri pia wanamengi mabaya. nawaombeeni kwa mungu mpate walau ufahau robo kwani hamjui mnalotenda yaani mnatumika bila wenyewe kujijua.
 
ACT ni uchuro mtupu
 
Eti huyu mchumia tumbo kitilya anadai siasa sio uadui huku wao wakifanya siasa za kipuuzi za kukashifu wengine,kununua watu kwa ushirikiano wa ccm kwa lengo la kuhujumu harakati za ukombozi. Ni wapuuzi sana na wasidhani watz wa leo sawa na wa juzi!
 
c Hapo Mr .Kitila umenena vizuri sana siasa sio uadui au kuchjukiana na kwa kuongezea zaidi pia sio kuoneana wivu mfano nimesoma posts za wachangiaji wengi hapa maandiko yao mara nyingi huonyesha chuki za kibinafsi dhidi ya viongozi wa nchi yetu na kama hamuniamini hebu jaribuni kutembelea tena topik zinazomhusisha rais Jakaya Mrisho Kikwete ujionee matusi na kashfa dhidi ya kiongozi huyu na wengine wengi ndani ya serikali.Huo ni ufinyu mkubwa sana wa kufikirii yaani unakuta hata uzalendo umeisha tutoka tuko tayari kuishangilia timu ya wageni dhidi ya timu inayobeba bendera ya nchi yetu wenyewe kisa rais ni mswahili JK yaani mswahili hafai kuwa rais Tanzania.Binafsi nilikuwa nina nia kubwa ya kujiunga na CDM lakini muenendo wa baadhi ya wanachama wake especially hapa bodini umenifanya nifikirie mara mia moja kabla ya kuamua kujiunga na chadema.Kumbukeni mtanzania mmoja akifa kwa kukosa matibabu au akifa kwa njaa atakuwa ni mtanzania kafa na sio kweli kuwa itaandikwa mccm kafa au mchadema kafa kwa njaa vyama pekee vya kisiasa au imani zetu za kuabudu isiwe ndio njia ya kututofautisha sisi watanzania.M/Mpamba.naona sasa umebadili ID mpumbavu zako eti profesa,,,,,,, profesa ma viiiiiiiiiii[/
 
kumbuka hata wanaotuibia hela za walipa kodi ni watanzania tena tuliowapa mamlaka
 
Back
Top Bottom