Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

Eti CDM lazima ife,kumbe tangu 2010 mnainadi CDM majukwaa afu usiku munaanza harakati za usaliti. Nampongeza sana Dr.Slaa bila yeye na kamanda MBOWE mngekuwa mnachekelea leo.Ndiyo maana mnaimba eti wamekiharibu chama kumbe mnataka waondoke ili mfanikiwe malengo yenu. Na Tundu lissu atawadhibiti ipasavyo labda mpange njama ovu kwake kama tabia zenu.

ETI siasa siyo uadui wakati mnafanya mambo ya kipuuzi pamoja na kusingizia mambo ya Ukabila. Wananchi tumeshawasoma nyie ni wanafiki. Dr. Slaa,Na Mbowe ndiyo kiboko yenu.
 
Kizazi kinachokuja sasa hivi ndio tishio kubwa zaidi kwa ccm,nakushauri kitila uwaambie mabwana zako wajiandae kununua kila mtu km ulivyonunuliwa kwa bei nafuu na udokta wako.
Mnafiki mkubwa
 
Makamanda
Jana asubuhi nilileta uzi unaosema(m/kiti cdm mkoa wa singida avuruga uchaguzi iramba)sasa leo naweka wazi mipango yote michafu iliyoandaliwa na Kitila Mkumbo na Shaban Lyimo(m/kiti cdm mkoa wa singida)

Wakati wa kikao cha halmashauri kuu ya ACT kilichofanyikia singida mjini ndg shaban alikutana na kitila na akampatia vifaa vya ACT(tshirt,kadi-2000) pia walipanga hujuma juu ya uchaguzi wa CDM iramba kuhakikisha nguvu ya wapambanaji walioko iramba inahamia ACT kwa kuwaangusha kwenye uchaguzi ambapo tayari jana wamefanikiwa kwa kuwaangusha waliokeeneza na kukipa jina chama iramba wamehujumiwa akiwemo Kamanda malume,Mama mande,Mzee mnyiramba,Pastora mchani,Abdalah sarai,Godfrey Mushi na Elia baltazari na tayari wameanza kupigiwa simu na mawakala wa ACT wanaojitambulisha kwa majina ya Gryson nyakarungu,mchange habibu na kitundu(aliejiuzuru uenyekiti wa mkoa na kwenda ACT)

IKUMBUKWE KUWA BAADA YA KIKAO CHA ACT NDG SHABAN ALIWAPELEKA GEREZA LA MKOA KUWASALIMIA MAKAMANDA WA CDM WALIOSHEKWA MAHABUSU

Huwezi Changanya Maji na Mafuta ya kupikia wataondoka sana maana niwachumia Tumbo wacha wazalendo tuendele kuitetea Nchi
 
Kanunuliwa kwa mkopo na ccm, Nape na huyu muuza unga kamwe hizo pesa hatalipwa
 
Duuuuh siasa ya Tanzania ni ngumu sana... Narudisha mawazo nyuma kipindi cha ule waraka sijui MM1 MM2 na wengine.. nagundua CHADEMA ilikuwa sahihi kukufukuza.. Uzi wako unaonesha kweli upo ACT (sorry kama ulishawahi ku"declare publicly). Sasa kama upo ACT mapema hivi ni wazi umeshiriki kuianzisha na unashiriki kuijenga na kuiimarisha.
Kama ndivyo, ni wazi umeshiriki na unashiriki kuihujumu CHADEMA kwa kiasi kikubwa sana hufai.
Ishinde CHADEMA kwa sera sio uishinde kwa kulazimisha kuiua kwa kutumia mbinu chafu. Usiimalize CDM kwa mgongo wa kujuana na Munyika and the like.. Usiimalize CDM kwa mgongo wa Siasa sio uadui, huku ukizidi kuwa karibu na ofisi za CDM kupata taarifa nyeti na kutumia mwanya huo kuiangamiza.
Tumia usomi wako kuboresha na si kubomoa.
 
Sasa nani Dr. Hapo? Kama nchemba sio Dr. Wao?
Wapite kuleeeee
 
Jifunzeni kufanya siasa za kistaraabu na kutatua matatizo yenu bila kusingizia watu wengine. Viongozi wa CDM Mkoa wa Singida nimefanya nao kazi kwa muda mrefu na tulijenga urafiki, sio uadui. Pamoja na kwamba tupo vyama tofauti kwa sasa, urafiki na undugu wetu haujaisha. Kwa hiyo tunaendelea kuwasiliana na kukutana inapobidi. Nilipokuwa Singida tulikutana na Shaban Limu, tukazungumza kama kawaida na kisha tukaenda kuwasalimia ndugu zetu waliopo gereza la Singida. Nikutaarifu pia kwamba naendelea kufanya kazi kwa karibu kabisa na Mhe. Mnyika katika kushughulikia tatizo la vijana wetu waliopo Singida na tunaendelea kuwasiliana kwa jambo hili. Bado nina marafiki wa kutosha makao makuu ya CDM na tunazungumza na kubadilisha mawazo. Tofauti zetu za kimsingi katika mambo ya kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa hazina uhusiano kabisa na ubinafsi wetu kama binadamu. Siasa sio uadui, ni tofauti za kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa.
Hahahhaaaaa.....Imebidi .......
 
KITILA WEWE NI MSOMI KWA MAANA KWAMBA UNAJITAMBUA , ACHA UNAFIKI kWA MWENENDO WAKO ULIVYO HUWEZI KUJIITA RAFIKI WA MTU YEYOTE NDANI YA CDM , NIMEKUDHARAU SANA MKUU .
 
Duuuuh siasa ya Tanzania ni ngumu sana... Narudisha mawazo nyuma kipindi cha ule waraka sijui MM1 MM2 na wengine.. nagundua CDM ilikuwa sahihi kukufukuza.. Uzi wako unaonesha kweli upo ACT (sorry kama ulishawahi ku"declare publicly). Sasa kama upo ACT mapema hivi ni wazi umeshiriki kuianzisha na unashiriki kuijenga na kuiimarisha. Kama ndivyo, ni wazi umeshiriki na unashiriki kuihujumu Cdm kwa kiasi kikubwa sana.. HUFAI. Ishinde CDM kwa sera sio uishinde kwa kulazimisha kuiua kwa kutumia mbinu chafu. Usiimalize CDM kwa mgongo wa kujuana na Munyika and the like.. Usiimalize CDM kwa mgongo wa Siasa sio uadui, huku ukizidi kuwa karibu na ofisi za CDM kupata taarifa nyeti na kutumia mwanya huo kuiangamiza.

Tumia usomi wako kuboresha na si kubomoa.

HUYU JAMAA ANATIA AIBU SANA , NAMTABIRIA MWISHO MBAYA SANA kISIASA , NAMSHUKURU MUNGU KWAMBA HAKUWAHI KUFUNDISHA WANANGU .
 
Karibu katika Chama cha Kizalendo,uungane na Wazalendo wenzako wa ACT-TANZANIA.
 
Dr Mkumbo vijana wetu wengi hili jambo hawalijui vizuri tunadhani kuwa mtu akitofautiana mawazo na sisi anakuwa adui yetu, hili jambo ni ushamba na siasa nyepesi tunatofautiana mawazo na bado tunabaki kuwa marafiki na undugu wetu unaendelea. Sasa kila mtu akiwa msaliti basi democrasia imefeli. Itikadi yetu iwe sehemu ya kujenga ustawi wa jamii na siyo magonvi na vituko.

nani kakudanganya kwamba kitila anafanya siasa ? HUYU LENGO LAKE NI KUHAKIKISHA KWAMBA CDM INAKUFA , HICHO NDIO AMETUMWA , NA NACHUKUA NAFASI KUMTAHADHARISHA KWAMBA ATASHINDWA NA KUFEDHEHEKA VIBAYA SANA !
 
Jifunzeni kufanya siasa za kistaraabu na kutatua matatizo yenu bila kusingizia watu wengine. Viongozi wa CDM Mkoa wa Singida nimefanya nao kazi kwa muda mrefu na tulijenga urafiki, sio uadui. Pamoja na kwamba tupo vyama tofauti kwa sasa, urafiki na undugu wetu haujaisha. Kwa hiyo tunaendelea kuwasiliana na kukutana inapobidi. Nilipokuwa Singida tulikutana na Shaban Limu, tukazungumza kama kawaida na kisha tukaenda kuwasalimia ndugu zetu waliopo gereza la Singida. Nikutaarifu pia kwamba naendelea kufanya kazi kwa karibu kabisa na Mhe. Mnyika katika kushughulikia tatizo la vijana wetu waliopo Singida na tunaendelea kuwasiliana kwa jambo hili. Bado nina marafiki wa kutosha makao makuu ya CDM na tunazungumza na kubadilisha mawazo. Tofauti zetu za kimsingi katika mambo ya kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa hazina uhusiano kabisa na ubinafsi wetu kama binadamu. Siasa sio uadui, ni tofauti za kimtazamo, kiitikadi na kifalsafa.

Kitila nilikusikiliza kwa makini kwenye mdahalo ,ulivyokua ukijaribu kubalance hoja ya UKAWA kwa kususia bunge la katiba.Nilikua nikikufuatilia kwa umakini ili nijue kama ulionewa CDM.Niligundua siku ile ulikua ukiuma na kupuliza.Uka end up kusifiwa na Lukuvi kuwa ni mahiri.Ki ukweli nilichojifunza siku ile ni kwamba wewe ni" Mnafiki".Hili ni neno nililowahi kulitumia kwa Zitto, na wewe pia nalitumia kwako,Mungu akitujalia uhai ,itakuja kudhihirika,utaficha unafiki wako lakini sio siku zote.
 
Yaani Yuda Iskariote ww mi nisivyokupenda tena zaidi kwa kunipotezea muda wangu kumbe ni kirusi mbaya ngoja Mungu watu kama ninyi hawaachi bure, msalimie mchumia tumbo mwenzako Zitto mwambie tunawasubiri Sumbawanga lazima nimpe mtu kifafa jukwaani
 
Dear Kitila Mkumbo,

Walk the Talk....... Tatizo lako wewe na ZZK mnayoyasema midomoni ni mengine na mnayoyatenda ni kinyume kabisa.

Tumewagundua hatudanganyiki tena, nyie ni ndumila kuwili. Mimi binafsi nilikuamini sana kama msomi, uliyetulia na unachanganua mambo kumbe.....zero!
 
Back
Top Bottom