Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
Kusherekea ushindi na mwenyekiti wao....
Utazingirwa na wazee wa difender kwakile kitakachoitwa " Uchochezi "Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
MtarbanNi dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
Utazingirwa na wazee wa difender kwakile kitakachoitwa " Uchochezi "
Ni wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo wanaomchagua mweyekiti, halmashauri kuu inapendekeza jina/majina tu. Uchaguzi haujafanyika kwa hiyo hawaendi kupoteza pesa bure. Nafahamu unaelewa haya niliyoandika lakini umeandika uzi huu kama kejeli!
Wameenda kutafuna pesa za walipa kodi
CC: Jenista Muhagama. CCM ndiyo chama dola
Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
CCM na Nape wangetumia fedha hizi kudhamini "bunge live" kwa mwaka 1.Tukio la kumpa kijiti cha Uenyekiti JPM ni sehemu ndogo sana katika mkutano huo utakaotanguliwa na vikao vya Sektetarieti, Kamati Kuu, Halmashauri Kuu then Mkutano Mkuu. Mind you mkutano huu utagharimu 4.3bilioni. ....
Wewe yanakuhusu nini? Kama Ufipa hamna mikutano ya chama kazi ni kwenu.
ukiuangalia kwa jicho pevu mkutano wa dodoma ni upotevu wa rasilimali pesa na hata muda. pia ni maigizo....
Hata RAS hujapata!! Jitafakari!!! Buku 2Wewe yanakuhusu nini? Kama Ufipa hamna mikutano ya chama kazi ni kwenu.
Wewe yanakuhusu nini? Kama Ufipa hamna mikutano ya chama kazi ni kwenu.