Mwenyekiti CCM alishajulikana, hawa wajumbe wanaenda Dodoma kufanya nini?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
 
Kusherekea ushindi na mwenyekiti wao....
 
Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?
Utazingirwa na wazee wa difender kwakile kitakachoitwa " Uchochezi "
 
images-17.jpeg

swissme
 
Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?

Ni wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo wanaomchagua mweyekiti, halmashauri kuu inapendekeza jina/majina tu. Uchaguzi haujafanyika kwa hiyo hawaendi kupoteza pesa bure. Nafahamu unaelewa haya niliyoandika lakini umeandika uzi huu kama kejeli!
 
Wajumbe wanaenda kumpongeza mwenyekiti mpya wa chama. Chama kilichojaa wanafiki ambao atawatumbua.Pia wanaenda kupiga makofi na kushuhudia upokezanaji wa kijiti na kupiga picha na mwenyekiti. Baada ya kupiga picha,watamwombea kwa Mungu. Hiyo ndio DOMOkrasi ya chama.
Kura wamepigwa kwa fax zamani ( Samwel Sitta style), kitakachofanyika Dodoma ni igizo tu la uchaguzi ndani ya chama.
Serikali ndio inabana matumizi lakini vyama havina uhaba wa fedha. Unafahamu vyama vinapata ruzuku? Sasa wataitumiaje ruzuku hiyo? Wewe niambie, wataitumbuaje Ruzuku hiyo? Ruzuku ni lazima itumbuliwe.

Hii ya chama kimejaa wanafiki ni kauli ya JPM ,mwenyekiti mteule.

Tukio la kumpa kijiti cha Uenyekiti JPM ni sehemu ndogo sana katika mkutano huo utakaotanguliwa na vikao vya Sektetarieti, Kamati Kuu, Halmashauri Kuu then Mkutano Mkuu. Mind you mkutano huu utagharimu 4.3bilioni. Kusafisha wajumbe 3000 kuja na kurudi makwao, posho 80,000/- kwa siku, document kits, kusafirisha wajumbe kutoka vyama rafiki nje ya nchi kama Zimbabwe, Afrika Kusini, Vietnam, Cuba, China, Msumbiji nk. Kurusha mkutano huo live tv & radios. Ni mkutano mkubwa sana.
 
Ni wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo wanaomchagua mweyekiti, halmashauri kuu inapendekeza jina/majina tu. Uchaguzi haujafanyika kwa hiyo hawaendi kupoteza pesa bure. Nafahamu unaelewa haya niliyoandika lakini umeandika uzi huu kama kejeli!

tengua kauli, hapo hakuna uchaguzi mkuu, na kama kuna uchaguzi inakuaje mnasema Magufuli atakabidhiwa chama ilihali kama ni uchaguzi yeyote tofauti na magufuli anaweza kuchaguliwa
 
Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?

Wewe yanakuhusu nini? Kama Ufipa hamna mikutano ya chama kazi ni kwenu.
 
ukiuangalia kwa jicho pevu mkutano wa dodoma ni upotevu wa rasilimali pesa na hata muda. pia ni maigizo....
 
Tukio la kumpa kijiti cha Uenyekiti JPM ni sehemu ndogo sana katika mkutano huo utakaotanguliwa na vikao vya Sektetarieti, Kamati Kuu, Halmashauri Kuu then Mkutano Mkuu. Mind you mkutano huu utagharimu 4.3bilioni. ....
CCM na Nape wangetumia fedha hizi kudhamini "bunge live" kwa mwaka 1.
Wangeweza kuvuna wanachama wengi wa upinzani..
 
Wewe yanakuhusu nini? Kama Ufipa hamna mikutano ya chama kazi ni kwenu.

Ajenda kuu ya mkutano ni uchaguzi cha kushangaza mwenyekiti kashachaguliwa kabla ya uchaguzi. huu ndo usanii unaonishangaza na sioni mantiki ya kupoteza pesa tena kuwagharamia hawa wanaojiita wajumbe
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom