Mwenyekiti CCM alishajulikana, hawa wajumbe wanaenda Dodoma kufanya nini?

tengua kauli, hapo hakuna uchaguzi mkuu, na kama kuna uchaguzi inakuaje mnasema Magufuli atakabidhiwa chama ilihali kama ni uchaguzi yeyote tofauti na magufuli anaweza kuchaguliwa

Hata kura za Taifa tulijuwa kuwa Rais ni Magufuli siku aliyotangazwa na CCM kugombea. Lakini itifaki ilizingatiwa.

Halafu kumbuka ewe punguani hukabidhi chama kimya kimya kama mlivyomkabidhi nyinyi Lowassa aliyetemwa CCM.
 
Usitake kutuhamisha kwenye mada hapa tunazungumzia uenyekiti Wa Magufuli ambaye kashachaguliwa bila kupigiwa kura, jiulize kachaguliwa na nani, jibu hakuna. hatumzungumzii Lowassa hapa bibi yangu
 
stress za kukosa mume na uMRI unaenda basi zinakufanya uongee kwa jazba, hahahahaha

Ukisikia umbea wa kishoga ndiyo huo.

Umeanza umbea wa CCM umekushinda sasa unahamia kwangu! Hautoweza.

Mama'ko ana mume? Au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa msalimie baba'ko.
 
Usitake kutuhamisha kwenye mada hapa tunazungumzia uenyekiti Wa Magufuli ambaye kashachaguliwa bila kupigiwa kura, jiulize kachaguliwa na nani, jibu hakuna. hatumzungumzii Lowassa hapa bibi yangu

Lowassa alichaguliwa na nani kugombea urais kupitia chadema. Maana CCM alitupiliwa mbali kabla ya kura.
 
kuna vikao vya uteuzi Wa mgombea, na mikutano ya uchaguzi Wa viongozi. huu Wa ccm ni mkutano Wa uchaguzi Wa kiongozi Wa chama hivyo uchaguzi unatakiwa ufanyike au huelewi bibi?
 
Ukisikia umbea wa kishoga ndiyo huo.

Umeanza umbea wa CCM umekushinda sasa unahamia kwangu! Hautoweza.

Mama'ko ana mume? Au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa msalimie baba'ko.

hahahaha! umepaniki! huu mchezo huuwezi bibi
 
tengua kauli, hapo hakuna uchaguzi mkuu, na kama kuna uchaguzi inakuaje mnasema Magufuli atakabidhiwa chama ilihali kama ni uchaguzi yeyote tofauti na magufuli anaweza kuchaguliwa

Sasa kama hakuna uchaguzi wewe kinachokuwasha ni nini? Akili za wa Tanzania bana, mnashindwa kujadili mambo ya maendeleo mnahangaika kuijadili CCM ambayo mnaitukana kila siku imeoza!
 
Ukisikia umbea wa kishoga ndiyo huo.

Umeanza umbea wa CCM umekushinda sasa unahamia kwangu! Hautoweza.

Mama'ko ana mume? Au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa msalimie baba'ko.
Punguza jazba wewe Bibi
 
Sasa kama hakuna uchaguzi wewe kinachokuwasha ni nini? Akili za wa Tanzania bana, mnashindwa kujadili mambo ya maendeleo mnahangaika kuijadili CCM ambayo mnaitukana kila siku imeoza!

maendelo huambatana na demokarasia acha pum.Ba.vu wewe uvccm
 
Ni wajumbe wa mkutano mkuu ndiyo wanaomchagua mweyekiti, halmashauri kuu inapendekeza jina/majina tu. Uchaguzi haujafanyika kwa hiyo hawaendi kupoteza pesa bure. Nafahamu unaelewa haya niliyoandika lakini umeandika uzi huu kama kejeli!
 
maendelo huambatana na demokarasia acha pum.Ba.vu wewe uvccm

Mnashinda mnaitukana CCM imeoza halafu mnataka demokrasia, eti maendeleo huambatana na demokrasia. Umeona wapi maendeleo na demokrasia yakapatikana kwenye chama kilichooza?
 
Nimekupata sana kibarua wa buku 7....hadi 2 sasa hivi!!
Si wa kuajiriwa mimi.

Kwa kuwa umejazwa ujinga wa kuajiriwa toka ulivyo zaliwa basi kichwa chako kinakutuma wote ni wakuajiriwa tu.

Wengine tunaajiri, kumbuka hilo.
 
Hii ndyo michezo isiyo na mchezo, lazima ujitoe akili ili kuwa sehemu ya mchezo.,.. Kabla mechi haijaanza mshindi kasha patikana....
 
tengua kauli, hapo hakuna uchaguzi mkuu, na kama kuna uchaguzi inakuaje mnasema Magufuli atakabidhiwa chama ilihali kama ni uchaguzi yeyote tofauti na magufuli anaweza kuchaguliwa

Ni lazima apigiwe kura ili ijulikane kama wajumbe wengi wanamkubali.
 
Back
Top Bottom