Ni dhahiri kuwa mwenyekiti Wa chama cha mapinduzi anajulikana kuwa ni Pombe Magufuli, ingawa haijulikani kuwa ni lini uchaguzi ulifanyika na akachaguliwa. nimesikia kuwa wajumbe Wa halimashauri kuu ya ccm wanatarajia kuelekea Dodoma kwa ajili ya uchaguzi. hivi huku siyo kupoteza pesa bure ukizingatia kuwa hawana cha kwenda kufanya Dodoma kama siyo kuonngeza jamu ndani ya mkoa Wa Dodoma?