Mwenyekiti BAVICHA na Redbridge CHADEMA ajiunga CCM

Maendeleo ya JIWE ni wapinzani kujiunga CCM.

Nje ya hapo ni pyu pyu featuring watu wasiojulikana (W. W)
 
Yaani wanasahau hawakukianzisha hiki chama bali waliingia baada ya kukipenda. Waasisi hilo halowashtui. Lengo la Ccm ni kuifanya CHADEMA kama walivyo wafanya NCCR, na CUF. Na ili wafanikiwe ni Mbowe aondoke maana wamemshindwa. Hakika Mbowe ni mwamba kwa Ccm
wanademokrasia na mwekit wa kudunu had aibu
 
Mbinu za kishamba sana hizo!
Wale Redbrigade mliowaleta uchaguzi wa marudio kinondoni kutoka nje ya dar Na nje ya nchi mjue Kila kitu kiko wazi watakamatwa kama kuku mmoja baada ya mwingine Na kushughulikiwa hasa Kwa wazi au Siri kimyakimya.Habari ndio hiyo.Ujumbe umfikie Heche
 
Last edited:
mbunge heche Na Redbrigade Brigade wako uliowaleta uchaguzi wa marudio kinondoni kazi kwako Na genge lako
 
Nashauri vijana wa UVCCM waliopo humu wasifurahi tu kama bendera fata upepo wakisikia mtu kahama CDM kujiunga CCM wanafikiri chama kinakua, lazima wafikiri huyu mtu alikuwa upinzani anafanya nini, je sio mamluki, saikolijia inaonesha binadamu hubadilisha mbinu na njia lakini lengo lake ni moja
 
*"Nimeamua kujiondoka rasmi katika chama cha demokrasia na maendeleo ( chadema) na kujiunga rasmi na chama cha Mapinduzi (ccm) baada ya kutorizishwa na uendeshwaji wa chama na uchu wa madaraka ikiwamo kung'aninia nafasi ya uwenyekiti na uendeshwaji wa chama kwa ujumla na nimeamua kumuunga mkono Mheshimiwa J.P Magufuli ( Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania )"*

- Lee Saydou, Mwenyekiti Bavicha na Redbridge Chadema Jimbo la Kinondoni.View attachment 824479
Huyu kapurwa anajua atapewa cheo huko Lumumba.

Hakuna anayemjua ndiyo maana amejikuta mwenyeji wa kumpokea ni bendera tu aliyoikuta hapo.
 
Back
Top Bottom