Mwenyekiti BAVICHA na Redbridge CHADEMA ajiunga CCM

Mwenyekiti BAVICHA na Redbridge CHADEMA ajiunga CCM

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
*"Nimeamua kujiondoka rasmi katika chama cha demokrasia na maendeleo ( chadema) na kujiunga rasmi na chama cha Mapinduzi (ccm) baada ya kutorizishwa na uendeshwaji wa chama na uchu wa madaraka ikiwamo kung'aninia nafasi ya uwenyekiti na uendeshwaji wa chama kwa ujumla na nimeamua kumuunga mkono Mheshimiwa J.P Magufuli ( Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania )"*

- Lee Saydou, Mwenyekiti Bavicha na Redbridge Chadema Jimbo la Kinondoni.
IMG-20180801-WA0111.jpeg
 
*"Nimeamua kujiondoka rasmi katika chama cha demokrasia na maendeleo ( chadema) na kujiunga rasmi na chama cha Mapinduzi (ccm) baada ya kutorizishwa na uendeshwaji wa chama na uchu wa madaraka ikiwamo kung'aninia nafasi ya uwenyekiti na uendeshwaji wa chama kwa ujumla na nimeamua kumuunga mkono Mheshimiwa J.P Magufuli ( Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania )"*

- Lee Saydou, Mwenyekiti Bavicha na Redbridge Chadema Jimbo la Kinondoni.View attachment 824479
Chadema hilo kiongozi wa Red Brigade huyoooooo kasepa Mbowe ondoka
 
Mastermind wa CCM kwenye huu mkakati wa kumuondoa Mbowe sio smart anamaanisha hata Mwanachadema wa ukweli aliyekua na mawazo kama ya kwao kuhusu Mbowe aone umuhimu wa kubaki Mbowe!Toka lini adui yako akapenda maendeleo yako
 
Waende tu.
Mkakati ni kuua upinzani na kuwapa cheo serikalini. Kama ndio hivyo wwngi atawapata.
 
Yani we ni mwenyeketi bado unasema Kuna uchu wa madaraka ila bongo bwana
Yaani wanasahau hawakukianzisha hiki chama bali waliingia baada ya kukipenda. Waasisi hilo halowashtui. Lengo la Ccm ni kuifanya CHADEMA kama walivyo wafanya NCCR, na CUF. Na ili wafanikiwe ni Mbowe aondoke maana wamemshindwa. Hakika Mbowe ni mwamba kwa Ccm
 
hawa jamaa bwana jiwe na dogo polepole wanawaendesha kama watoto, hivi hawaoni aibu kukaririshwa sababu za kuamia CCM, yani ukubali kununulika na bado ukubali kuambiwa maneno ya kutamka baada ya kuama kweli? Huo ujinga wenu ni wa kiwango cha juu sana.
 
Hahahaha...shida ni kwamba.taondoka wote na mbowe atabaki kuwa mwenyekiti wa chadema...hapo ndipo mtajua kuwa wasukuma mnatumia minguvu mingi akili kidogo...!!!
 
Hahaha ccm wanataka mbowe aondoke jipangeni na propaganda uchwara mwanzo juhudi za magufuli watu wakashtuka saiv mbowe polepole na magufuli wanamuweza lipumba na mrema tu
kinachoshangaza zaidi polepole na genge lake la maCCM wanaumia zaidi mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kuliko wana CHADEMA wenyewe.
 
Back
Top Bottom