Mwenyekiti BAVICHA na Redbridge CHADEMA ajiunga CCM

Mwenyekiti BAVICHA na Redbridge CHADEMA ajiunga CCM

Wawe wanachagua wenyekiti vijana, huyu si age mate wa pole pole
 
kinachoshangaza zaidi polepole na genge lake la maCCM wanaumia zaidi mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kuliko wana CHADEMA wenyewe.
Hii kiki haina nafasi kama wao wajanja waweke uchaguzi wa mwenyekiti ktk katiba yao sio magufuli anapita bila kupingwa ktk chama chao et kisa raisi unakuwa moja kwa moja mwenyekit je kwa wale wasiokuwa na uwezo wa kuongoza nchi ila wanataka kuongoza chama wanafanyaje?
 
Faili la Siri za Redbrigade limeshatua CCM Na serikalini kuna watu hawatalala Leo kifupi wajiandae kukiona cha mtema kuni
 
Hivi siasa zinalipa wakuu aah hv kwa nn sisi sote tusiamue kuwa wanasiasa
 
Hii kiki haina nafasi kama wao wajanja waweke uchaguzi wa mwenyekiti ktk katiba yao sio magufuli anapita bila kupingwa ktk chama chao et kisa raisi unakuwa moja kwa moja mwenyekit je kwa wale wasiokuwa na uwezo wa kuongoza nchi ila wanataka kuongoza chama wanafanyaje?
Ni hatari sana mkuu, kuna wakati najiuliza sana kwamba kuwa CCM ni lazima uwe mjinga mjinga?
 
Waroho na waoga wote wataondoka, watabaki majemedari wenye roho ngumu na damu ya kipinzani sio hao wa kujivika
 
Kwa CHADEMA hata kama walikuwa hawajui nia ya CCM , mpaka hapa sasa hata ambaye ni mgumu kuelewa sasa AMEELEWA.
Hii hamahama, mlengwa kabisa ni mbowe utadhani ccm wao walishawahi hata kufanya uchaguzi wa mwenyekiti zaidi ya kufanya appointment.
Kwa jinsi hii BASI ccm wanamjenga MBOWE kuwa mwenyekiti wa kudumu wa chama cha CDM.
 
Kwanini mbowe? kwanini ccm wawe vinara Wa kumtaka mbowe atoke madarakani?
 
Hawa wanaoondoka sasa, wakuja kuomba kurudi, bahati mbaya milango itakuwa imefungwa.
 
Kesho nayo siku maana za kujiunga na chama tawala sio habari tena hii
 
Hahaha ccm wanataka mbowe aondoke jipangeni na propaganda uchwara mwanzo juhudi za magufuli watu wakashtuka saiv mbowe polepole na magufuli wanamuweza lipumba na mrema tu
Mi napenda aendelee kubaki kama mwenyekiti ili chadema iendelee kumeguka.
 
Faili la Siri za Redbrigade limeshatua CCM Na serikalini kuna watu hawatalala Leo kifupi wajiandae kukiona cha mtema kuni
Faili la green guard ndiyo usiseme kabisha lilishatua zamani ufipa siku Waitara alipotaka kuweka mambo hadharani CCM walilala mbele siku hiyo.
 
Yaani wamekaririshwa hadi cha kusema, mfyuuu
 
Back
Top Bottom