Mwenyekiti aliyezushiwa kujizuru na akina january makamba ,mkutano wake jana wafurika wananchi

Saaafi saaaaaana,nili mtweet january ili anipe ukweli wa suala la mwenyekiti huyo akaishia kurusha matusi,ngoja nimtafute tena!! Nimtaarifu

Kwani na yy cdmp c huwa wanasema wanaorusha matusi ni vijana wa cdm?....ccm bana
 
Eti january ni mbungd wa bumbuli? Amechaguliwa na nani, labda wa viti.........,
 
Back
Top Bottom