UJIRA WA MWIHA
New Member
- Oct 15, 2011
- 3
- 1
Kitendo cha mwenyekiti wa CCM kuwateua Mwantumu Mahiza na Joel Bendera kuwa wakuu wa mikoa wakati walioangushwa katika kura za maoni za ubunge katika majimbo ya mkinga na Korogwe Tanga ni kuwadharau na kuwabeza wana CCM wenzake!
Kama wanaCCM Wenzake waliowaona hawewezi uongozi tena Ngazi ya Jimbo iweje Mwenyekiti aone wanafaa ukuu wa Mkoa?
Huu ni mchezo Mchafu na Makosa ya mara kwa mara ya CCM!
Kama wanaCCM Wenzake waliowaona hawewezi uongozi tena Ngazi ya Jimbo iweje Mwenyekiti aone wanafaa ukuu wa Mkoa?
Huu ni mchezo Mchafu na Makosa ya mara kwa mara ya CCM!