Mwenye Youtube channel anaeuza nahitaji

Mwenye Youtube channel anaeuza nahitaji

mishe bwoy

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
116
Reaction score
34
Kama una youtube ac ina suscribers kuanzia 2000 njoo DM tuongee biznezz
 
acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe
 
acha uvivu ukishakuwa na Gmail account tayari unamiliki youtube channel unafuata maelekezo unamiliki na wewe
Mwenzako anataka yenye subscribers tayari.Hataki kuanza kusaka subscribers.
 
mtu anaposubscribe inamaana anataka kile kitu anachokiona kwenye chanell, mfano mimi chanell yangu ni ya mziki wa taarabu halafu wewe ukainunua na kueka chanell ya somo la hisabati unafikiri watu watabaki? wengi watakimbia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom