Ooh is not that simple lazima unapokwenda kuomba viza ubalozini uwe na documentary proof ya sponsor.....la kama unajidhamini mwenyewe uwe na bank statement yenye ukwasi wa kutoshaOndokea na gia ya kusoma....hivyo vihela ulipie hata registration tu, ukifika huko ndo ubebe boksi sasa!
We upo USA yawap?karibu sana... hapa MIAMI ipo kazi ya kutembeza CHUPI ufukweni..
pia maeneo ya CALIFORNIA...hapa kuna migahawa kibao unaweza ukapata kazi pia katika migahawa ya vyakula vya kiafrika.. sana sana mitaa ya magharibi..
UNA KIPAJI gani kwanza??
alafu swali lingine unamjua TRUMP-ET?
Bola mungu akunyime Mali lakini akupe akili[emoji19] [emoji19] [emoji19]Piga kibiriti hiyo hela. Huna plan ya maisha yako. Dola 1500 ndo inakupa akili ya kwenda USA (sounds like USA RIVER)???
Manake ukiendelea kukaa nayo itakupa akili ya kwenda akhera/mbingu.
Hata hvy siku!aum kwa sababu uwezo wako wa kufikir umeishia hapo hapo ulipo waza tu congratulations [emoji312] [emoji312] [emoji312] [emoji312]Piga kibiriti hiyo hela. Huna plan ya maisha yako. Dola 1500 ndo inakupa akili ya kwenda USA (sounds like USA RIVER)???
Manake ukiendelea kukaa nayo itakupa akili ya kwenda akhera/mbingu.
Mbali na kwenda kusoma sababu gani nnaweza kutoa ili nipewe visa ya kuja USA kuishi sio kutaliiSiwezi kumshauri mtu aje Marekani kama hana mpango wa kukaa kihalali muda wote atakapokuwa huku.
Sijawahi kuwa out if legal status Marekani hata kwa sekunde moja. Naona uzuri wa kuwa hivyo.
Na naona watu wanavyohangaika sanankwa sababu hawana legal status.
Wamarekani wameweka mambo yao yote wazi kwenye mtandao.Mbali na kwenda kusoma sababu gani nnaweza kutoa ili nipewe visa ya kuja USA kuishi sio kutalii
Elimu yangu diploma,nna biashara zangu zisizonibana bongo hivyo hata nisipokuwepo shughuli zinaendelea?
Thanks Mkuu ngoja niipitieWamarekani wameweka mambo yao yote wazi kwenye mtandao.
US kuna visaza aina mbili, non-immigrant (kusoma, kutalii, biashara etc kimsingi visa yoyote ile ambayo ni ya kwenda Marekani, lakini unarudi kwenu, si ya kuhamia kimoja)
Halafu kuna "immigrant visa" kwa watu walioamua kuhamisha makazi kuja kuishi US.
Naona swali lako limejikita kwenye hii immigrant visa.
Habari zaidi kuhusu aina tofauti na masharti yake zimeandikwa vizuri katika mitandao ya tovuti za serikali ya Marekani.
Ona hapa The Immigrant Visa Process
Siwezi kumshauri mtu aje Marekani kama hana mpango wa kukaa kihalali muda wote atakapokuwa huku.
Sijawahi kuwa out if legal status Marekani hata kwa sekunde moja. Naona uzuri wa kuwa hivyo.
Na naona watu wanavyohangaika sanankwa sababu hawana legal status.
Rahisi hivyo ee?Nenda jamaica, unahitaji Passport tu,
Unazuga hapo ndo badae unajiachia usa baby