jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Habari wakuu..
Kabla sijajichanganya mwanaume mwenzenu naombeni msaada wa haraka kutoka kwa hawa mabinti wa kiarabu waliochora tatoo za manyota nyota au maua katika sehemu zisizo onekana akiwa na nguo ila ukiwa nae faragha unaziona wakuu.
Nimekua muhanga wa hawa mabint wa kiarabu waliopo Arusha mjini kila unaegusa unakuta kachora tatoo za manyota nyota mara maua kifuani, kwenye kitovu, kiuno au kwenye mapaja yake
Japo nikiwa faragha nao najaribu sana kuwauliza kwanini wanafanya hivyo kuchora tatoo wananiambia ni urembo tuu japo nakua na mashaka sana na kukubali kishingo upande siku ziende.
Naombeni mwenye uzoefu nao hawa mabinti wa kiarabu aweke hapa wakuu maana muda sio mrefu naweza nikajichanganya kuzaa nao mwanaume mwenzenu maana na hamu sana na mtoto na wapo ambao wamesha ni hakikishia kunibebea mimba yangu na kunizalia mtoto
Asanteni