Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,647
- 6,677
Nikwamba bado sijapoteza nywele japo kuna dalili kwa umbali na kuhusu nywele kuanza kuota jibu ni ni bado sababu kwenye maelezo pale wamesema matokeo yanaanza kuonekana baada ya miez miwili ikichelewa sana ni miezi minne. Kwenye side effect hicho akijaandikwa mkuu.Baada ya kuanza kutumia kwa mwezi mmoja hio Minoxidil nywele zinaota?
Na Je maelezo ya dawa yanasemaje kuhusu side effects zake?
Ok sawa,ngoja tusubiri labda waliotumia lakini Nimejaribu kusoma mtandaoni hio dawa ni topical(inapakwa juu ya ngozi) na inafanya kazi kwenye Mzizi wa nywele tu na sio homoni.Nikwamba bado sijapoteza nywele japo kuna dalili kwa umbali na kuhusu nywele kuanza kuota jibu ni ni bado sababu kwenye maelezo pale wamesema matokeo yanaanza kuonekana baada ya miez miwili ikichelewa sana ni miezi minne. Kwenye side effect hicho akijaandikwa mkuu.
Kaka nimestuka baada ya jana kujaribu kusex yaani mashine inaamka lakini hisia amna wala nimepiga nikatoka nikaona najichosha tu. Na kilichofanya ni hisi hivyo pia ni hiyo coment ya jamaa kudai kuwa alitumia ikawa inamkata hisia wakati wa tendo ndio maana nkajaribu kuchek kwa wanangu humu.Ok sawa,ngoja tusubiri labda waliotumia lakini Nimejaribu kusoma mtandaoni hio dawa ni topical(inapakwa juu ya ngozi) na inafanya kazi kwenye Mzizi wa nywele tu na sio homoni.
Labda tatizo lako lina sababu zingine tu
Labda ngoja tusubiri waliotumia tuone watasemajeKaka nimestuka baada ya jana kujaribu kusex yaani mashine inaamka lakini hisia amna wala nimepiga nikatoka nikaona najichosha tu. Na kilichofanya ni hisi hivyo pia ni hiyo coment ya jamaa kudai kuwa alitumia ikawa inamkata hisia wakati wa tendo ndio maana nkajaribu kuchek kwa wanangu humu.
Ukichunguza miaka ya sasa vijana wengi wadogo wanatoka vipara tofauti na miaka ya nyuma🤔Ndogo wangu ana miaka 23 ana para.... Mimi Nina 32 Nina para la kufa mtu..... Ni la kifamilia na hatutumii dawa YOYOTE.
Hawawezi kuandika kila kitu vingine unajiongeza mwenyewe,waandike wazi inashusha hamu ya ngono watamuuzia nani na wanajua hakuna mwanaume asiyependa kuipoteza hiyo hali na wanaume ndiyo wanaopata vipara?umbali na kuhusu nywele kuanza kuota jibu ni ni bado sababu kwenye maelezo pale wamesema matokeo yanaanza kuonekana baada ya miez miwili ikichelewa sana ni miezi minne. Kwenye side effect hicho akijaandikwa mkuu.
Hii kitu sijui inasababishwa na niniUkichunguza miaka ya sasa vijana wengi wadogo wanatoka vipara tofauti na miaka ya nyuma🤔
Mkuu nimesema hivyo sababu nilikutana na coment kama hiyo mtandaoniMtoa mada umetuanzia mbali sana..Ngono na Nywele za kichwa zinahusiana vip? ungeniambia nilitafuta dawa ya kuondoa nywele za sehemu za siri nikawa na paka sehemu za siri sasa naona mashine haifanyi kazi...Wewe utakuwa na tatizo lingine lakini pia hulazimishi kuendelea kuitumia hyo dawa.
Aisee sikuwa najua hii kitu1. Upara ni kitu kizuri kwa mwanaume. Upara na ndevu/sharubu tumeumbiwa wanaume. Mwanaume yeyote anayechukia hivo vitu 2 ni mpumbavu sana!
2. Sababu kuu ya wanaume kupata upara huwa ni kwa sababu ya hormone ya TESTOSTERONE ambayo ni MALE HORMONE. Ndiyo maana wanawake hawapatagi upara kwa sababu hawana hii hormone. Hivyo ukitumia dawa ya kuzuia upara maana yake unaenda kushusha kiwango cha hii hormone ambayo ndiyo huwa inawapa wanaume sexual drive yao.