Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,546
Reaction score
6,500
Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka.

Baada ya kufeli nikaamua kutumia Minoxidil kirkland nakimbilia mwezi sasa but changamoto nayikutana nayo ni kwamba hisia zangu wakati wa tendo la ndoa zimekuwa chini sana kitu ambacho sikuwa nimekutana nacho before but sikuwa nmejudge sana nikajua ni mambo ya hisia tu.

Ila sasa leo katika pitaita zangu huko facebook kuna mtu alikuwa anatangaza bidhaa za minoxidil bac kuna mtu akacoment kwamba zilifanya akapoteza kabisa hisia wakati wa tendo la ndoa. Hapo ndipo namimi nikaanza kuunganisha na hali yangu nikaona maybe kuna ukweli.

Ndio sasa nikaamua kuleta hii mada huku nijue kama kuna mtu alishatumia Minoxidil akakutana na hiyo changamoto ya kupoteza hisia na kipi alikifanya ili kumuweka sawaa??

production_2Flistings_2Fd461bb74-0a59-438e-ba8e-440f8925a34c_2Fkirkland-minoxidil-5_25-topical...png
 
Sio kila dawa lazima ireact sawa kwa kila mtu,kama wewe unaona inakuletea hiyo side effect achana nayo au nenda Hospital ukapate ushauri sahihi wa daktari,

Siku zote ni vizuri zaidi kutumia dawa baada ya vipimo au kwa ushauri wa Daktari.
 
Baada ya kuanza kutumia kwa mwezi mmoja hio Minoxidil nywele zinaota?
Na Je maelezo ya dawa yanasemaje kuhusu side effects zake?
Nikwamba bado sijapoteza nywele japo kuna dalili kwa umbali na kuhusu nywele kuanza kuota jibu ni ni bado sababu kwenye maelezo pale wamesema matokeo yanaanza kuonekana baada ya miez miwili ikichelewa sana ni miezi minne. Kwenye side effect hicho akijaandikwa mkuu.
 
Ok sawa,ngoja tusubiri labda waliotumia lakini Nimejaribu kusoma mtandaoni hio dawa ni topical(inapakwa juu ya ngozi) na inafanya kazi kwenye Mzizi wa nywele tu na sio homoni.

Labda tatizo lako lina sababu zingine tu
 
Kaka nimestuka baada ya jana kujaribu kusex yaani mashine inaamka lakini hisia amna wala nimepiga nikatoka nikaona najichosha tu. Na kilichofanya ni hisi hivyo pia ni hiyo coment ya jamaa kudai kuwa alitumia ikawa inamkata hisia wakati wa tendo ndio maana nkajaribu kuchek kwa wanangu humu.
 
Labda ngoja tusubiri waliotumia tuone watasemaje
 
Mtoa mada umetuanzia mbali sana..Ngono na Nywele za kichwa zinahusiana vip? ungeniambia nilitafuta dawa ya kuondoa nywele za sehemu za siri nikawa na paka sehemu za siri sasa naona mashine haifanyi kazi...Wewe utakuwa na tatizo lingine lakini pia hulazimishi kuendelea kuitumia hyo dawa.
 
1. Upara ni kitu kizuri kwa mwanaume. Upara na ndevu/sharubu tumeumbiwa wanaume. Mwanaume yeyote anayechukia hivo vitu 2 ni mpumbavu sana!

2. Sababu kuu ya wanaume kupata upara huwa ni kwa sababu ya hormone ya TESTOSTERONE ambayo ni MALE HORMONE. Ndiyo maana wanawake hawapatagi upara kwa sababu hawana hii hormone. Hivyo ukitumia dawa ya kuzuia upara maana yake unaenda kushusha kiwango cha hii hormone ambayo ndiyo huwa inawapa wanaume sexual drive yao.
 
umbali na kuhusu nywele kuanza kuota jibu ni ni bado sababu kwenye maelezo pale wamesema matokeo yanaanza kuonekana baada ya miez miwili ikichelewa sana ni miezi minne. Kwenye side effect hicho akijaandikwa mkuu.
Hawawezi kuandika kila kitu vingine unajiongeza mwenyewe,waandike wazi inashusha hamu ya ngono watamuuzia nani na wanajua hakuna mwanaume asiyependa kuipoteza hiyo hali na wanaume ndiyo wanaopata vipara?
 
dawa ni ya kupaka kichwani ila side effect yake ikufanye ukoswe ham ya kufanya ngono?! mmmh atleast ingekua ya kumeza au ya kupaka direct kwenye dhakari alf ukapata hiyo changamoto,, ila labda ni kweli ngoja tusubiri wajuzi wa haya mambo
 
Sababu kuu ya wanaume kupata upara huwa ni kwa sababu ya hormone ya TESTOSTERONE ambayo ni MALE HORMONE. Ndiyo maana wanawake hawapatagi upara kwa sababu hawana hii hormone. Hivyo ukitumia dawa ya kuzuia upara maana yake unaenda kushusha kiwango cha hii hormone ambayo ndiyo huwa inawapa wanaume sexual drive yao.
Mwanaume Hutaki Upara Unataka Nini...??Achana Na Madawa Hakuna Kitu Humo,,,Iheshimu Hiyo Hali,IKubali Na Utafute Namna Bora Ya Kuishia Nayo Tu...Au La Vaa Wigi...
 
Mtoa mada umetuanzia mbali sana..Ngono na Nywele za kichwa zinahusiana vip? ungeniambia nilitafuta dawa ya kuondoa nywele za sehemu za siri nikawa na paka sehemu za siri sasa naona mashine haifanyi kazi...Wewe utakuwa na tatizo lingine lakini pia hulazimishi kuendelea kuitumia hyo dawa.
Mkuu nimesema hivyo sababu nilikutana na coment kama hiyo mtandaoni
 
1. Upara ni kitu kizuri kwa mwanaume. Upara na ndevu/sharubu tumeumbiwa wanaume. Mwanaume yeyote anayechukia hivo vitu 2 ni mpumbavu sana!

2. Sababu kuu ya wanaume kupata upara huwa ni kwa sababu ya hormone ya TESTOSTERONE ambayo ni MALE HORMONE. Ndiyo maana wanawake hawapatagi upara kwa sababu hawana hii hormone. Hivyo ukitumia dawa ya kuzuia upara maana yake unaenda kushusha kiwango cha hii hormone ambayo ndiyo huwa inawapa wanaume sexual drive yao.
Aisee sikuwa najua hii kitu
 
Back
Top Bottom