mzalendoMtz
New Member
- Mar 23, 2015
- 2
- 0
Wakuu nilinunua bidhaa from China via eBay lakini loooh Leo ni siku ya 20 bado havijafika na zingine kila nikijaribu kutrack naishia kuona pameandikwa " operation complete" na nyingine naambiwa " item(traking number) left Singapore to Tz, siku ya 4 leo.
Hhii kitu ni kweli au niliingia mkenge ? maana wachina ni mmm! jaman kama kuna aliyewahi kufanya purchase from China via eBay tupeane uzoefu/info kuhusu hii kitu.
Asanteni
Hhii kitu ni kweli au niliingia mkenge ? maana wachina ni mmm! jaman kama kuna aliyewahi kufanya purchase from China via eBay tupeane uzoefu/info kuhusu hii kitu.
Asanteni