Burungutu lebba
Senior Member
- Jul 31, 2012
- 168
- 163
Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye moja ya NGO inayofanya kazi nchini...moja ya vigezo vyao ni kuwa na cherti rasmi Cha mtihani wa kipimo Cha maarifa online..ni interview za kisasa hizo…
Sasa link waliyonipa kupata cheti hicho sio Chini ya laki moja mpaka unakipata..lakini sijawa limited kufanya kwa hao tu so naeza tafuta wengine swala no he Kuna tasisi yoyote inayotoa cognitive test pamoja na ku reward Chet just for foew amount of money au for free kabisa