Mwenye uwezo wa kutoa tafsiri ya hii sentensi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,702
Naombeni msaada wasomi nguli wa JF lili kupata maana au tafsiri ya maneno/ sentensi ifuatayo.

"There is a tide in the affairs of Men, which taken at the floods leads on to fortune"

Sina hakika sana ila ni kati ya Shakespeare au Julius Ceaser

Aksanteni sana

Nakala: Mhesh Paschal Mayalla
 
Kuna mawimbi katika mambo(maisha) ya binadamu, kama yatachukuliwa katika ufahari yanapelekea katika maisha mazuri. (Badili hiyo tafsiri kadiri upendavyo sasa ila tu usipoteze maana)
 
Naombeni msaada wasomi nguli wa JF lili kupata maana au tafsiri ya maneno/ sentensi ifuatayo.


"There is a tide in the affairs of Men, which taken at pride leads on to fortune"

Sina hakika sana ila ni kati ya Shakespeare au Julius Ceaser

Aksanteni sana

Nakala: Mhesh Paschal Mayalla
There is a tide in the affairs of men,which taken at pride(, or !)leads on to fortune.

there is a tide in the affairs of men,which taken at pride,leads on to fortune.
 
Maisha ya binadamu hukumbwa na magumu, lakini akiyakabili kijasiri huleta mafanikio

Au Maisha ya mwanadamu yana magumu mengi, lakini yakikabiliwa kijasiri/kwa kujiamini huleta mafanikio

Au Maisha ya binadamu yana changamoto nyingi, lakini zikikabiliwa kijasiri/kwa kujiamini huleta mafanikio
 
When man dies pretending alive maggots turns his body shelter
Msomi kutoka Kongwa.
 
If life challenges are accepted and faced up with courage and optimism, an unprecedented success is inevitable. It is as though our success is hid in (our better yet, linked with) the very intriguing problems we normally encounter on a day-to-day basis.
 
Nimefuatilia tafsiri za watu wengi na wengi wao wametafsiri naona wamejitahidi kiasi na hii imetokana na kutafsiri neno "tide" katika maana ya kwanza yaani up and down au low tide and high tide, kupanda na kushuka au changamoto, kifupi neno tide pia lina maana ya "opportunity" na ndiyo maana hasa inayotakiwa kutumika katika hayo maneno.

Angalia katika kamusi Kongwe ya kiingereza ya Merriam Webster katika #4;-

Screenshot_20210313-215841.png
 
Kiswahili kigumu na vile nimesikia mahakama sitaanza tumia kiswahili kazi ipo
 
Back
Top Bottom