Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

Fanya uchunguzi kwa kuishi nao,,, sio kwa kuangalia majirani wanaoishi nao..

Ukipata jibu leta mrejesho...

Mapenzi uFalla sana sometimes
 
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.

Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote.

Mwenye ushahidi juu ya hili alete
Kama hujawaona wakipasha viporo ujue wamekuzidi ujanja...
Mie napasha kiporo muda wowote nikimuita ananiletea mzigo.
 
Fanya uchunguzi kwa kuishi nao,,, sio kwa kuangalia majirani wanaoishi nao..

Ukipata jibu leta mrejesho...

Mapenzi uFalla sana sometimes
Mara nying ukiwa na mahusiano na single maza kinachosababishaga usiwe na iman nae ni wasi wasi tu na wivu wa mapenzi,lakn kusema et anagongwa na mzaz mwenzie hlo halipo kabisa!! labda huyo dem awe chiz
 
Single maza akiolewa na mwanaume anaeeleweka hawezi akagongawa na mzaz mwenzie,wanaosema wanawagongaga na waongo au labda huyo single maza akiwa hana ndoa au mahusiano yanayoeleweka hapo ndo atagongwa kirahis
 
Nadhani umejifunza kitu kutoka kwa wachangiaji nami nakushauri mechi ianze 0-0 lakini epuka mechi inayoanza 1-0 ukweli ni kwamba wanawake hawaaminiki hasa wanapokua na mahusiano yenye mtoto labda mwanaume asihitaji kupasha kiporo lakini kama akihitaji asilimia kubwa hawakatai na hata akikataa ni ile kuzuga tu.
 
Mwanamke ukimuoa akiwa tayar ana mpenz,hawez akakumbushia na x wake?? mbna mm naona hakuna utofaut kat ya single maza na mwenamke ambae hujamkuta bikra kwenye swala la kukumbushiana!
 
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.

Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote.

Mwenye ushahidi juu ya hili alete
Siyo single mother tu, hata ambao hawajazaa na wakaenda kuzaa ndani ya ndoa zao, baadhi HUWA WANAPASHA VIPORO KWA MA-X WAO
 
Ukitaka kufa mapema fuatilia mabo ya mke wako na mazi mwenzake,na kama hutaki kufa mapema achana n hiyo mambo angalia anachokupa wewe kwa wakati unapokuwa naye,hayo mengine mwachie mungu
 
Back
Top Bottom