Mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya mh. Lema tafadhali

Mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya mh. Lema tafadhali

Joined
Oct 13, 2012
Posts
25
Reaction score
4
Mwana jamvi yeyote mwenye updates kuhusu rulling ya rufaa ya Mh. Lema tafadhali atujuze.
Natanguliza shukrani.
 
Hukumu haojasomwa, wala bado haijapangiwa tarehe ya kusoma ingawa kuna tetesi kuwa huenda ikasomwa tarehe za mwishoni mwa mwezi ujao
 
Ilikuwa isomwe leo, ila naona kama jaji mkuu hayupo, yuko USA
 
Ilikuwa isomwe leo, ila naona kama jaji mkuu hayupo, yuko USA

Kuna tetesi huenda akawa amekwenda Hong Kong kushughulikia kumaliza Kisheria issue ya "Mtoto wa Mkwewe".
 
Tunaamini haki itaonekana ikitendeka katika maamuzi.
 
Hukumu haojasomwa, wala bado haijapangiwa tarehe ya kusoma ingawa kuna tetesi kuwa huenda ikasomwa tarehe za mwishoni mwa mwezi ujao

Asante Mpita njia kwa kutujuza manake wengine hata akili haipo kwani tuna hasira sana, basi tu.:confused2:
 
Back
Top Bottom