Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 880
- 937
Wakuu habari, itifaki imezingatiwa. Msaada, natafuta mtu anayetengeneza vyungu, PM, 0714994833 au martinimhina@gmail.com
Nenda mwenge kuna waunzi wadengeleko na wamasai ni mafundi sana wanaweza kuchukua kazi.Wakuu habari, itifaki imezingatiwa. Msaada, natafuta mtu anayetengeneza vyungu, PM, 0714994833 au martinimhina@gmail.com
okey tusubiri wadau watakuja hapa.NIPO TANGA mkuu
Vyungu vya aina gan fafanuaWakuu habari, itifaki imezingatiwa. Msaada, natafuta mtu anayetengeneza vyungu, PM, 0714994833 au martinimhina@gmail.com