Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 418
Ni shule mpya ndo inaanza kupokea wanafunzi kwa mara ya kwanza.... Kuhusu performance ita varie kulingana na jinsi itakavyoanza kufundisha.Kuna mtu mwenye ufahamu na hii shule ? Inaonekana ni mpya na mwanangu amepangiwa hapo form five PCM, chakushangaza wenyeji wa manispaa ya shinyanga mjini hawaijui, kama kuna Mwenye uelewa wa sehemu ilipo..na taarifa zizote zitakazosaidia kujua tunwamishe mapema au Laa. Asante.