Wa
Walidhani Mimi ndio tony Stark mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yeah sema wanazinguaVipi umepata msaada lakini?
😂 😂 😂 😂 mkuu umekua reborn, maana ulidanja kwenye 'the endgame'Asante kwa Kila aliyechangia uzi huu.🙏🙏🙏
By the way I am IRON MAN 🤨🤨🤨
😂😂😂🤣🤣🤣
dell optiplex 5040 nataka 8gbtaja aina ya ram unayooitka. au taja model ya laptop yako watu tukuuzie ram. mm 4Gb ddr3 nitakuuzia elf 30
Thanos alinizingua kwenye infinity war na Mimi nikamdedisha endgame nikashidwa kuhimili nguvu ya gauntlet na mimi nikadedi.😂😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 mkuu umekua reborn, maana ulidanja kwenye 'the endgame'
1. Kama laptop haina dedicated graphics kuweka ram 2 kwa mpigo inasaidia, inaongeza bandwidth na kuboost graphics kidogo.Kama kichwa kinavyojieleza
Mimi ni mpenzi sana wa games Ila katika kucheza games baadhi ya game zinakuwa Kama zina gandanda hivi niikambiwa ram ni ndogo kwa bahati mbaya Sina ufahamu wowote juu ra ram,
Ram yangu ni 4gb nataka niongeze iwe 8gb Kama Kuna mdau yeyote anayefahamu naomba anifahamishe
*4gb ram ni bei gani?
*Je Kuna aina ngapi za ram au ni aina moja tu?
Natumia laptop
🙏🙏🙏🙏
Asante Sana chief ngoja Kwanza niangalie Nini tatizo.1. Kama laptop haina dedicated graphics kuweka ram 2 kwa mpigo inasaidia, inaongeza bandwidth na kuboost graphics kidogo.
2. Games za kisasa nyingi zinataka 8GB ram.
3. Games kuganda linaweza kuwa tatizo la cpu, ram, Gpu etc hivyo unatakiwa ujue kwanza inaganda sababu gani, unatumia windows 10? Kipindi linaganda fungua game centre utaona resource zinavyotumika, na utajua tatizo lipo wapi.