Lotiro Mlembea
Member
- Sep 22, 2010
- 79
- 7
September mwaka huu Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) walitangaza nafasi mbalimbali kwa ajili ya kiwanda cha madawa kinachojengwa Kibaha, na leo wameanza kuita watu kwa ajili ya interview. Anayefahamu viwango vya mishahara pamoja na marupurupu anijulishe tafadhali.