Mwenye ufahamu kuhusu mishahara ya NDC!!

Sep 22, 2010
79
7
September mwaka huu Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) walitangaza nafasi mbalimbali kwa ajili ya kiwanda cha madawa kinachojengwa Kibaha, na leo wameanza kuita watu kwa ajili ya interview. Anayefahamu viwango vya mishahara pamoja na marupurupu anijulishe tafadhali.
 
Ni kweli Mkuu mshahara ni siri, ila kwa sekta ya umma mara nyingi huwa inafahamika mishahara pamoja na marupurupu. Kwa sekta binafsi ndo majadiliano(bargaining).
Kwa bahati nzuri hapa NDC tunataka wafanyakazi maadamu umejidhihirisha kuwa ni Mr.Mshahara kwanza nitahakikisha hatukuchukui ili hii nafasi waishindanie wenye nia ya kufanya kazi kazi kwa mshahara. Wewe ni mjinga sana badala ya kuuliza kuna kazi gani za msingi zinazofanywa na shirika la maendeleo la taifa wewe unaaza na maslahi kwanza!!!Hopeless go to Indians a lttle tanzanian
 
Duh! Why do u relate me with Indians? Taarifa yaweza kutoka kwako kwenda kwa mtu mwingine ambaye hana access na info.
 
Kwa bahati nzuri hapa NDC tunataka wafanyakazi maadamu umejidhihirisha kuwa ni Mr.Mshahara kwanza nitahakikisha hatukuchukui ili hii nafasi waishindanie wenye nia ya kufanya kazi kazi kwa mshahara. Wewe ni mjinga sana badala ya kuuliza kuna kazi gani za msingi zinazofanywa na shirika la maendeleo la taifa wewe unaaza na maslahi kwanza!!!Hopeless go to Indians a lttle tanzanian

Wacha mikwara,
Haufanyi kazi NDC wala nini.
Mshahara muhimu, hakuna cha bure siku hizi!!
 
Nashukuru kwa taarifa, kwa upande wa marupurupu wanatoa nini na nini? Asante.
leave allowance, house allowance,transport allowance, medical treatment, telephone na mengeneyo mengi kama umepata kazi huko hongera .kapige kazi na uwe na nidhamu kwenye matumizi ya fedha. utakuwa umeshaukata.
 
Sio mimi mkuu, kuna dogo kamaliza SUA amefanya usaili, ndo alikuwa anaulizia.
 
modality ya kuita kwenye intavyu wamefanyaje? Maana nakumbuka tangazo la hizo kazi liliwekwa kwenye gazeti.
 
Back
Top Bottom