Mwenye uelewa na matatizo ya freezer ...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,230
116,849
Nina freezer linanisumbua....limepungua nguvu ya kugandisha
now linafanya kazi lakini sio kama zamani
nimejaribu kubadili gesi na condenser kama nilivyo shauriwa
lakini wapi....

kuna mtu ana uelewa ?

Freezer bado jipya kabisa ila tatizo ni hiko la kupungua nguvu sana
na kila nikimuita fundi yeyote haoni tatizo.....
 
Inawezekana voltage supply ipo ndogo ni vyema ukatumia stabiliser inaweza kukisaidia pia kuna ile thermal gauge inaweza kuwa ni mbovu inashindwa ku control hali ya ubaridi unaohitajika. Jaribu kuwasiliana na huyu kaka Mohamed aliwahi kunisaidia tatizo kama hilo kwa friza yangu Indesit 0715 461 120
 
Ni kampuni gani?
 
Samahani ni model gani?
Kuna moja ilikuwa na tatizo kama lako.tukaja gundua ni sensor ndo tatizo.
Huenda temperature sensor inapereka wrong signal kwenye microproser board(kwa hizi freezer za kisasa).nitajie model yake naweza kukusaidia
 
Ahsante yuko Dar?
 
Whirlpool ...halafu hivyo vifaa unavyotaja havina majina yake ya kiswahili?
manake hawa mafundi wetu wa kiswahili nasikia tu 'condenser' mara sijui 'feni'
hivyo unavyotaja nikiwatajia wanaelewa?
 
Back
Top Bottom