Mwenye uelewa kuhusu Isuzu Tipper Direct Injection

Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
5,441
4,093
inakuaje wazee.nina shughuli ya ujenzi hivyo nataka kununua tipper Isuzu direct injection kwa ajili ya kubeba mawe, mchanga, tofali, cement mbao na bati.Pia nina mpango wa kuikodisha kwa shughuli za kubebea mawe na matofali baada ya ujenzi wangu kuisha.Wenye uzoefu na hii gari naombeni msaada wenu na uzoefu
images(94).jpeg
images(95).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua gari hiyo huwa haina matatizo,wanao kutisha kuhusu breki si kweli hiyo Isuzu ukimpata fundi anakufungia mpaka Stop Engine na mfumo wote wa Breki.

Spea zinapatikana kirahisi,gari inatumia mafuta vizuri.
Changamoto utayopata ukimpa dereva ni kushushiwa pesa ya malengo kwa madai ya gari kuwa ya zamani.
 
nimekupata mzee.ntaleta mrejesho.kuhusu bei ni kuangalia tu ukubwa wa mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technology ya zamani sana. Hizo ni gari za miaka ya early 80'z..Ungesogea mbele kidogo kwenye fuso..ukipata 6D 17 ya mwaka 1996 - 1998 hapo, utaenjoy zaidi kwa kazi hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom