Tetesi: Mwenye ubuyu kamili wa Menina

ubuyu hauna ukweli, Menina anapakuliwa viwanja vya sinza na Mwijaku , na mara nyingi yupo mori pale Big fashion.
 
dawa za kufubaza makali zimefanya tatizo la HIV lisahaulike kabisa, ukweli ni kuwa vijana wengi haswa hawa maarufu wapo kwenye grid ya umeme. Sasa sijui wanaziogopa dawa za kufubaza wakati wenzao wanaotumia wanapendeza na kunawiri haswa.
Kuna haja ya kampeni za HIV kurudishwa wengi hasa vijana wa kuanzia 15 years hawaelewi hata ngoma ni nini.hawajakutana na zile kampeni za uelimishaji.
Hawa ma 'celebrity" wenye mafaili yao wanasema wengi wanao uzuri wanatumia dawa wako vizuri wanazidi kupendeza sasa wakikutana na asiejua anaingia kichwa kichwa anapata na hatumii dawa matokeo ndio hayo.

 
Naomba mkanda wa X wa Menina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…