Mwenye tetesi kuhusu batch three

Billy philip

Member
Oct 24, 2019
15
8
Wadau naomba kujua kama kuna mdau wa chuo cha takwimu kile cha pale Changanyikeni EASTC tuwasiliane.

Pia vipi kuhusu tetesi za batch three?
 
Mkuu haieleweki mana ata HESLB wenyewe hawatoi taarifa yoyote na ukiingia kwenye akaunti wameandika 'analysis in progress '
 
wakuu kueni wapole watatoa tu jifanye kama umesahau inaweza kukondesha ii kituu inatia stress hasa kwa sisi tusiojiweza Mungu atasaidia mtapata hua ni bahati unaweza kua na vigezo vyote na ukakosa
 
Kweli ii mamb n bahat tu na inakupa stress kama ndounaitegemea mungu atafnya wepes mtapata.
 
aisee mimi sijapata kuelewa pahala.............! nimeingia kwenye account na nilichokikuta ni kwamba your not selected in both bach 1 and 2. swali....... sasa kama bach 3 imetoka kwann wakomee kuandika bach 1&2
 
aya mambo sometimes sio ya kuya tegemea sana..before ata uja omba loan unakua usha jiwekea kupata na kukosa

Nime ona sehemu i screenshoot ..
IMG-20191102-WA0013.jpeg
 
Back
Top Bottom