Mwenye uelewa kuhusu kozi ya science and laboratory technology

Captain A

Member
Dec 25, 2016
65
161
Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira.
 
Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira.

Kwa uelewa wangu wa juu juu profession yake inatumika zaidi katika maabara za viwandani,,kuhusiana na uwanda wa ajira ngoja wataalamu zaidi waje kutoa michango yao .Naomba kuwasilisha
 
Wadau naomba msaada kutaka kujua kuhusu hiyo course inayotolewa chuo cha DIT kama inaweza kulipa kwenye soko la sasa la Ajira.
Maabara za viwandani na mashuleni😠 ndio ajira zao zilipo

Mshahara always huwa ni makubaliano (mkataba)

Kuhusu kupata ajira, hakuna program isiyo na ajira ukiwa na connection/bahati

Ukiwa huna connection/bahati hata ukisoma program nzuri unaweza ukahangaika sana
 
Back
Top Bottom