Naomba uendelee, tuna mda!!Engine inapowaka Governor hupeleka mafuta kwa kiwango sahihi ili engine ibakie katika speed fulani iliyokusudiwa
Ukikanyaga mafuta unaifungua governor ili iongeze mafuta kwenda kwenye combustion.
Naishia hapo coz ni somo refu sana
Ndo unijb kwanza ni governor zip znatumika kwenye magarNaomba uendelee, tuna mda!!
Sasa wewe ndiwe unatuelimisha, itakua je sasa tukupe majibu. Sio DARASANI ila ni maelezo unatupatia.Ndo unijb kwanza ni governor zip znatumika kwenye magar
Siwezi kuelezea zote mbili lazma mniambie mnataka ipi kati ya izoSasa wewe ndiwe unatuelimisha, itakua je sasa tukupe majibu. Sio DARASANI ila ni maelezo unatupatia.
Why lie!!! Endelea na ngeli msanii!!
MechanicalSiwezi kuelezea zote mbili lazma mniambie mnataka ipi kati ya izo
Engine ya petrol fuel injection haina governor, itapima mafuta vipi?Ngoja niendelee kidogo bas
Mechanical governor ipo ivi
Engine huitaji mafuta ili iweze kuzalisha mzunguko uliokusudiwa
Governor huruhusu mafuta kuingia kwenye engine jambo ambalo huenda sambamba na charging(hewa).
Governor huzunguka na hufanya kazi kwa kutumia principle ya torque(force toward a center)
Engine ikiwa kwenye rpm kubwa huizungusha governor jambo ambalo hupelekea spring kutanuka na kufanya mafuta yapite kulingana na speed aliyotarajiwa pia spring husinyaa na kufanya engine iwe katika speed fulan ambayo pia imetarajiwa
Engine haihitaji mafuta mengi wala mafuta machache bali huitaji mafuta kwa wakati sahihi(timing) ili kuleta mzunguko uliotarajiwa na dereva.
Ngoja niishie hapo bt ukiwa na swali uliza ili nijazie nyama coz hapo nimeyabana maelezo kidg
Ngoja niendelee kidogo bas
Mechanical governor ipo ivi
Engine huitaji mafuta ili iweze kuzalisha mzunguko uliokusudiwa
Governor huruhusu mafuta kuingia kwenye engine jambo ambalo huenda sambamba na charging(hewa).
Governor huzunguka na hufanya kazi kwa kutumia principle ya torque(force toward a center)
Engine ikiwa kwenye rpm kubwa huizungusha governor jambo ambalo hupelekea spring kutanuka na kufanya mafuta yapite kulingana na speed aliyotarajiwa pia spring husinyaa na kufanya engine iwe katika speed fulan ambayo pia imetarajiwa
Engine haihitaji mafuta mengi wala mafuta machache bali huitaji mafuta kwa wakati sahihi(timing) ili kuleta mzunguko uliotarajiwa na dereva.
Ngoja niishie hapo bt ukiwa na swali uliza ili nijazie nyama coz hapo nimeyabana maelezo kidg
haya bwana kama hujaelewa maelezo ya kawaida sidhani kama nikiamua kutoa nondo hapa kama utazielewaEngine ya petrol fuel injection haina governor, itapima mafuta vipi?
Unasema engine uhitaji mafuta kwa wakati maalum (timing) hii haiendani na maelezo yako kuhusu spring na torque na 'force toward a centre' (centrifugal force, if I may) bali timing uhitaji marks kwa gears au njia nyingine ya synchronization.
Nina uhakika hata wewe ukisoma upuzi ulioandika utauona ukiwa hivyo tu, upuzi. Elewa hivi, governor utumika kwa injector pump za diesel za miaka ya nyuma na kazi yake SIO KUPIMA MAFUTA AU TIMING bali ni KUDHIBITI KASI YA ENGINE, hufanya hivi kwa kupunguza au kuzuia mafuta. Kabla ya kasi kuzidi kipimo, governor haina uwezo wowote wa kupunguza, kuongeza au ku-time mafuta, hadi pale ilipopimiwa kasi ndiposa mafuta yanapunguzwa kwa kuhitilafu 'control rack'.
HATARI KUBWA NI KWA WANOSOMA MAMBO HAYA YA UONGO NA KUYAAMINI, UKAENDA KUZOZANA NA FUNDI BURE!!
TAHADHARI!!
Msanii!!haya bwana kama hujaelewa maelezo ya kawaida sidhani kama nikiamua kutoa nondo hapa kama utazielewa
labda nikufumbue kidogo mimi ni chief engineer nimefanya kazi kwenye meli nyingi had ambazo hujawahi kuziona
ninapoongea sibahatishi naandika kile kitu ambacho nimekifanyia kazi kwa mikono yangu mwenyewe..hiyo engine unayoisea ni yakizamani ndizo ambazo mrusi anatumia usa anatumia sasa sijui nikuelewe nini kwamba wewe ni bora kuliko mikono yangu na macho yangu ambayo yamefungua na kufunga engine sio chini ya tano ten kubwa ninaposema engine ya meli usifikirie ni kama generator au kaengine ka M.T.U..... catapila unaifahamu vizuri? ni engine ambayo mmarekani anaitumia sana swali la kujiuliza je mmarekani bado anaishi zama za zamani kwa kutumia engine ambayo inatumia governor?
jifunze ustaarabu kijana wangu utafika mbali ukiona mtu kaweka maelezo unatakiwa kuyaangalia kwa jicho la tatu na sio kuishia kwenye notsi zako za hapa bongo,,,,,,hata mimi kabla sienda mbele nilkua najiona nimeiva kwa elimu ya hapa bongo ila nlivokutana na mgiriki nkaona kumbe mambo ni tofauti na sio kama vile tulivokuwa tunasumbuka na test 1
ndio maana hatufanikiwiMsanii!!
Peleka uswahilini kuna mafundi wazuri hachana na matapeli anaweza kukwambia kitu hata hakipo kwenye gariNina mercedes benz ML 320 fundi alikuja akaifanyia diagnosis akagundua kuna kifaa kinaitwa air mass na slider ndio vimekufa na gari lilipoteza uwezo wa kutembea je hilo tatizo linasababishwa na nini na hivyo vifaa kazi yake nini mkuu msaada wako
Wamaanisha nini hapa? Fafanua tafadhali!Peleka uswahilini kuna mafundi wazuri hachana na matapeli anaweza kukwambia kitu hata hakipo kwenye gari