Mwenye tatizo kuhusu magari

Engine inapowaka Governor hupeleka mafuta kwa kiwango sahihi ili engine ibakie katika speed fulani iliyokusudiwa

Ukikanyaga mafuta unaifungua governor ili iongeze mafuta kwenda kwenye combustion.

Naishia hapo coz ni somo refu sana
Naomba uendelee, tuna mda!!
 
Wakuu naomba kujua bei ya steering rack ya Corolla AE110.
 
Sasa wewe ndiwe unatuelimisha, itakua je sasa tukupe majibu. Sio DARASANI ila ni maelezo unatupatia.

Why lie!!! Endelea na ngeli msanii!!
Siwezi kuelezea zote mbili lazma mniambie mnataka ipi kati ya izo
 
Ngoja niendelee kidogo bas

Mechanical governor ipo ivi
Engine huitaji mafuta ili iweze kuzalisha mzunguko uliokusudiwa

Governor huruhusu mafuta kuingia kwenye engine jambo ambalo huenda sambamba na charging(hewa).

Governor huzunguka na hufanya kazi kwa kutumia principle ya torque(force toward a center)

Engine ikiwa kwenye rpm kubwa huizungusha governor jambo ambalo hupelekea spring kutanuka na kufanya mafuta yapite kulingana na speed aliyotarajiwa pia spring husinyaa na kufanya engine iwe katika speed fulan ambayo pia imetarajiwa

Engine haihitaji mafuta mengi wala mafuta machache bali huitaji mafuta kwa wakati sahihi(timing) ili kuleta mzunguko uliotarajiwa na dereva.

Ngoja niishie hapo bt ukiwa na swali uliza ili nijazie nyama coz hapo nimeyabana maelezo kidg
 
Gari yangu nilibadilisha clutch plate, pamoja na pressure. Ni cruiser, sasa kilochotokea nikiwasha likiwa silence, kuna mlio wa Kama kukoroma kutoka kwenye Gearbox, na nikikanyaga clutch mpaka mwisho mkoromo unapotea, Nini shida mkuu?
 
Ngoja niendelee kidogo bas

Mechanical governor ipo ivi
Engine huitaji mafuta ili iweze kuzalisha mzunguko uliokusudiwa

Governor huruhusu mafuta kuingia kwenye engine jambo ambalo huenda sambamba na charging(hewa).

Governor huzunguka na hufanya kazi kwa kutumia principle ya torque(force toward a center)

Engine ikiwa kwenye rpm kubwa huizungusha governor jambo ambalo hupelekea spring kutanuka na kufanya mafuta yapite kulingana na speed aliyotarajiwa pia spring husinyaa na kufanya engine iwe katika speed fulan ambayo pia imetarajiwa

Engine haihitaji mafuta mengi wala mafuta machache bali huitaji mafuta kwa wakati sahihi(timing) ili kuleta mzunguko uliotarajiwa na dereva.

Ngoja niishie hapo bt ukiwa na swali uliza ili nijazie nyama coz hapo nimeyabana maelezo kidg
Engine ya petrol fuel injection haina governor, itapima mafuta vipi?

Unasema engine uhitaji mafuta kwa wakati maalum (timing) hii haiendani na maelezo yako kuhusu spring na torque na 'force toward a centre' (centrifugal force, if I may) bali timing uhitaji marks kwa gears au njia nyingine ya synchronization.

Nina uhakika hata wewe ukisoma upuzi ulioandika utauona ukiwa hivyo tu, upuzi. Elewa hivi, governor utumika kwa injector pump za diesel za miaka ya nyuma na kazi yake SIO KUPIMA MAFUTA AU TIMING bali ni KUDHIBITI KASI YA ENGINE, hufanya hivi kwa kupunguza au kuzuia mafuta. Kabla ya kasi kuzidi kipimo, governor haina uwezo wowote wa kupunguza, kuongeza au ku-time mafuta, hadi pale ilipopimiwa kasi ndiposa mafuta yanapunguzwa kwa kuhitilafu 'control rack'.

HATARI KUBWA NI KWA WANOSOMA MAMBO HAYA YA UONGO NA KUYAAMINI, UKAENDA KUZOZANA NA FUNDI BURE!!
TAHADHARI!!

Gari inakwama ghafla ikiwa inatembea ,saa zingine inashtuka ukishika break.tatizo nini na hii gari yangu?
 
Mimi gari yangu Passo inatoa milio chini kwenye stearing rake hasa nikiwa kwenye rafuroad,tatizo huenda ni nini...
 
Engine ya petrol fuel injection haina governor, itapima mafuta vipi?

Unasema engine uhitaji mafuta kwa wakati maalum (timing) hii haiendani na maelezo yako kuhusu spring na torque na 'force toward a centre' (centrifugal force, if I may) bali timing uhitaji marks kwa gears au njia nyingine ya synchronization.

Nina uhakika hata wewe ukisoma upuzi ulioandika utauona ukiwa hivyo tu, upuzi. Elewa hivi, governor utumika kwa injector pump za diesel za miaka ya nyuma na kazi yake SIO KUPIMA MAFUTA AU TIMING bali ni KUDHIBITI KASI YA ENGINE, hufanya hivi kwa kupunguza au kuzuia mafuta. Kabla ya kasi kuzidi kipimo, governor haina uwezo wowote wa kupunguza, kuongeza au ku-time mafuta, hadi pale ilipopimiwa kasi ndiposa mafuta yanapunguzwa kwa kuhitilafu 'control rack'.

HATARI KUBWA NI KWA WANOSOMA MAMBO HAYA YA UONGO NA KUYAAMINI, UKAENDA KUZOZANA NA FUNDI BURE!!
TAHADHARI!!
haya bwana kama hujaelewa maelezo ya kawaida sidhani kama nikiamua kutoa nondo hapa kama utazielewa

labda nikufumbue kidogo mimi ni chief engineer nimefanya kazi kwenye meli nyingi had ambazo hujawahi kuziona
ninapoongea sibahatishi naandika kile kitu ambacho nimekifanyia kazi kwa mikono yangu mwenyewe..hiyo engine unayoisea ni yakizamani ndizo ambazo mrusi anatumia usa anatumia sasa sijui nikuelewe nini kwamba wewe ni bora kuliko mikono yangu na macho yangu ambayo yamefungua na kufunga engine sio chini ya tano ten kubwa ninaposema engine ya meli usifikirie ni kama generator au kaengine ka M.T.U..... catapila unaifahamu vizuri? ni engine ambayo mmarekani anaitumia sana swali la kujiuliza je mmarekani bado anaishi zama za zamani kwa kutumia engine ambayo inatumia governor?

jifunze ustaarabu kijana wangu utafika mbali ukiona mtu kaweka maelezo unatakiwa kuyaangalia kwa jicho la tatu na sio kuishia kwenye notsi zako za hapa bongo,,,,,,hata mimi kabla sienda mbele nilkua najiona nimeiva kwa elimu ya hapa bongo ila nlivokutana na mgiriki nkaona kumbe mambo ni tofauti na sio kama vile tulivokuwa tunasumbuka na test 1
 
Msanii!!
 
Nina mercedes benz ML 320 fundi alikuja akaifanyia diagnosis akagundua kuna kifaa kinaitwa air mass na slider ndio vimekufa na gari lilipoteza uwezo wa kutembea je hilo tatizo linasababishwa na nini na hivyo vifaa kazi yake nini mkuu msaada wako
Peleka uswahilini kuna mafundi wazuri hachana na matapeli anaweza kukwambia kitu hata hakipo kwenye gari
 
Amani kwenu wana JF,
Kuna gari Nissan Serena Diesel Engine ya 1997 ina tatizo la kupandisha temp. naomba ushauri.
 
63e2da38c42cdb47f13c34b5959712d9.jpg
884cafc9b31a2b1ccb6658d1f9bf04e9.jpg

2007 hiyo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom