Mwenye tatizo kuhusu magari

63e2da38c42cdb47f13c34b5959712d9.jpg
884cafc9b31a2b1ccb6658d1f9bf04e9.jpg

2007 hiyo
Mbona maelezo yako hayaendani? You sound like an amateur or at best an apprentice. Picha hazisemi kitu bro ila maelezo yako; ambayo yanadhihirisha hukuelewa chochote darasani. Pole sana!
 
Endeleeni hivohivo kubishana sisi ndio tunagain vitu hapa
Bora mtu abishe kwa kutumia lugha nzuri na sio kwa matusi kama huyo jamaa yaani kanitusi hadi ikabidi niipitie post yangu vizuri niangalie kama kunasehem nimekosea kidogo

Wabongo kwa style hii sidhani kama watu watakua wanakubali kushare idea
 
Kweli mkuu we kuwa mpole tu atakuelewa taratiibu
 
Mbona maelezo yako hayaendani? You sound like an amateur or at best an apprentice. Picha hazisemi kitu bro ila maelezo yako; ambayo yanadhihirisha hukuelewa chochote darasani. Pole sana!
Wewe umeniita msanii as if nimeandika vitu kwa kusikia kwa watu na wakati hiyo kazi nimeifanya...governor naijua vzur sana

Labda ktu usichokielewa huu uzi wanasoma watu wengi na unapoelezea kitu ni lazima kukwepa maelezo ambayo mtu wa kawaida atasgindwa kuyaelewa mimi nimeelezea governor ili hata mtu wakawaida aelewe nini namaanisha

Tatizo lako unataka nielezee kitu ambacho unakijua wewe na hata kama ni kigumu kueleweka na mtu wakawaida
 
Bro,
Kwanza samahani kwa kukukwaruza vibaya hapo awali; naamini ukiusoma huu uzi kwanzia mwanzo wake utanielewa/utaelewa kughadhabika kwangu.
Nakuomba ufanye utafiti kidogo kwanza kuhusu fuel system ya engine za four na two stroke kw kua hizi ni tofauti na marine engines ambazo hutumia governor unavyoeleza ila ni kwa sababu ya ukubwa wake (marine engine), ile governor hua kifaa cha kando; kwenye diesel za kawaida, hakipo nje bali ndani ya injector pump. Utagundua pia diesel system ya marine engine ni tofauti na ya engine ndogo.
Kwa engine design za marine engine - pia sababu ya ukubwa wake, haina injector pump bali ni unit pumps, moja kw kila cylinder. Ndio sababu ile sehemu, governor, ipo nje na hapo ndipo acceleration ya engine hufanyika. Engine za kisasa za diesel, kama Deutz 1013 FC, ambazo ni za umeme hutumia governor pia, yake ikiwa digital governor. Engine za CAT - ulizosema unaelewa, ndio pia hutumia mifumo hii ya unit pumps na governor ubavuni ila pale zinakua mechanically linked to throttle pedal/lever na kwa hivyo ni digital governors.
So kaka, nothing personal.
 
Engine karibia zote zinatumia mfumo wa 4 au 2 strock except labda zile jet engine nandio maana nime mjibu huyo jamaa coz najua engine ni ile ile tofauti ni ukubwa tu
 
Ngoja tuishie hapo coz hata wewe umejikanyaga kwenye ejection pump

Kila mtu atambe kwenye field yake
 
Bro ati marine engene haina enjection pump?

Siku nyingine usipende kutukana watu wakati wewe mwenyewe unauelewa wa kugoogle tu

Ngoja nikupe elimu kidogo

Enjection pump zipo za aina mbili(marine)
Kuna jark pump na common rail system

Katika jark pump ipi iv
Kila cylinder inakua na enjection pump yake (hapa sio lazima unielewe ila unaruhusiwa kubisha)

Katika common rail system
Pump moja hutumika kusambaza mafuta kwenye sylinder zote. Pump hii ni nzuri coz ni rahisi kujua tatizo la mafuta kwenda kwenye cylinder

Hiyo governor sitaki kuielezea coz najua hutaelewa kitu how inakaa na vipi inafanya kazi
 
Gari yangu ni aina ya Hilux double cabin na engine yake ni 2L petrol, kinachonitesa kila mara ni carburettor , mara naambiwa ime float, mara naambiwa uchafu. ...mafundi wananishauri nibadilishe engine, niweke ya aina hiyo hiyo ila yenye injection, wazo hili ni sahihi na engine hizo kweli zinapatikana? Naomba ushauri wako mkuu maana nimeteseka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Carburettor ni tech ya zamani, tafuta engine za kisasa ndugu
 
Ngoja tuishie hapo coz hata wewe umejikanyaga kwenye ejection pump

Kila mtu atambe kwenye field yake
Ndugu yangu "ejection" pump ninayojua mimi haiko kwa engine au meli!!
Ni vyema uishia hapo wewe, naona pia lugha na uelewa ni mzigo kwako!!
 
Engine karibia zote zinatumia mfumo wa 4 au 2 strock except labda zile jet engine nandio maana nime mjibu huyo jamaa coz najua engine ni ile ile tofauti ni ukubwa tu

Umewahi skia engine ya rotary, ya Stirling cycle je, what about ya steam na hizo ni tatu kw mingi.
"... najua engine ni ile ile tofauti ni ukubwa tu", kweli msanii! Hii ndio attitude ya mafundi wa uswahilini; ya diesel na petrol ni ile ile!?!? Hata za diesel kuna direct na indirect injection, sio ejection kaka!!!
 
Wewe umeniita msanii as if nimeandika vitu kwa kusikia kwa watu na wakati hiyo kazi nimeifanya...governor naijua vzur sana

Labda ktu usichokielewa huu uzi wanasoma watu wengi na unapoelezea kitu ni lazima kukwepa maelezo ambayo mtu wa kawaida atasgindwa kuyaelewa mimi nimeelezea governor ili hata mtu wakawaida aelewe nini namaanisha

Tatizo lako unataka nielezee kitu ambacho unakijua wewe na hata kama ni kigumu kueleweka na mtu wakawaida
"Tatizo lako unataka nielezee kitu ambacho unakijua wewe na hata kama ni kigumu kueleweka na mtu wakawaida"
First and foremost, hujui ninachojua mimi! Pili maelezo yatakua kwa faida ya wanaJF kw jumla - ndio sababu sikukosoi kw kukanusha tu, natoa maelezo. La tatu na la muhimu sana, hakuna jambo lisiloweza kueleweka; hizo zako ndio lugha za ubabaishaji wanazotumia waswahili/wasanii huko mitaani. By the way WanaJF wenza, watch out for statement kama hizo toka kw fundi kwani yeye sio 'mtu wa kawaida' ndio akapata kulielewa jambo, na wewe sio wa kawaida?
Kuelewa ni kueleza na wakaelewa sio kipawa au miujiza!
 
Umewahi skia engine ya rotary, ya Stirling cycle je, what about ya steam na hizo ni tatu kw mingi.
"... najua engine ni ile ile tofauti ni ukubwa tu", kweli msanii! Hii ndio attitude ya mafundi wa uswahilini; ya diesel na petrol ni ile ile!?!? Hata za diesel kuna direct na indirect injection, sio ejection kaka!!!
Steam engine ni external combustion engine ambayo inatumia boiler na mwisho inaangukia kwenye mfumo wa jet coz steam huenda kwenye blade na kuzizungusha but tusfike huko hapa tunaongelea internal combustion engine......kwaiyo unataka kuniambia rotary engine ni one strock engine? stroke zipo ila zinafanyika at the same time labda ndio maana unashindwa kuelewa,,. au hujui maana ya strock?

Usitafute pakutokea kijana kama hujui ni bora tukaishia hapa nikisema nitume picha utaumbuka vibaya
 
Ndugu yangu "ejection" pump ninayojua mimi haiko kwa engine au meli!!
Ni vyema uishia hapo wewe, naona pia lugha na uelewa ni mzigo kwako!!
sasa naanza kupata mashaka na elimu yako...kama engine ya meli haina enjection pump itakua inatumia kitu gan? engine ya meli ina pump nyingi (auxiliary) na pump ya mwisho katika kuchukua mafuta ni enjection pump... tofauti ni maumbo tu kwenye meli itakua umbo kubwa na huko kwenu itakua na umbo lingine

maswala ya meli achana nayo coz huna unachokijua zaidi ya kukisia tu
 
Ukisema 'engine karibia zote' mbona hukufafanua waelewa za IC pekee?!?! Mambo ya lianza nilpokukosoa mambo ya fuel system, waeleza mambo ya meli kwa wenye magari isitoshe mifumo ya diesel. Ndio maana nasema hujui na huelewi lolote kuhusu engine ila yale uliozoea kuona kw meli.
Kabla ya ku-post picha zako ukiwa bandarini, ungeweka mmoja ukiwa unashughlikia mambo AU hata ya engine pekee uliyobomoa; yeyote aeza pozi na sare za kufagia au kupaka rangi akajiita 'Chief Engineer'.
Kabla ya maneno mengi, posti picha moja tu ya governor ya Toyota yeyote umeshawahii ona.
Naomba nikukumbushe twaongea kuhusu ENGINE FUEL SYSTEM, sio mambo na pump hata ya baiskeli ni pump pia.

PS: attached kuna picha za electronic governor ya Deutz 1013 FC na computer yake, ndani na nje. Naomba uposti ya Toyota yoyote ile umewahii kuona.
86bb9f5a9a84bfccb89e341e17efef63.jpg
a51d10ad6589d9650d36808c2d06fe61.jpg
3b64458670f58fb35e6bf4751ebe2efd.jpg
4740885e26b0cd5aa433d6efb460b5d3.jpg
eaba023a14b7362d59154d00b61ae9d6.jpg
bce016ef419b99080931fe7c536240b8.jpg
 
Back
Top Bottom