LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,123
- 9,168
Hapo shida yaweza kuwa idle sensor ndio jibu la haraka kama gari iko powa haina miss wala shida yoyote.Habari mkuu,nina Teriors engine K 3,inatatizo,nikiwa kwenye foleni nimeweka drive D na kuanyaga brake gari inashuka silencer na kuzima.
Mpaka niweke P niwashe ndio niweze kuondoka.
Tatizo ni nini haswa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je vipi ukizima ac bado inafanya hivyo.inazima?
Au ukiwasha na kuweka p rpm huwa inakuwa kwenye ngapi?.
Na ikiwa kwenye p ukiwasha ac silensa huwa inaongezeka au kupungua na inafika kwenye ngapi?. Na vile vile ukiweka d inasomaje