Mwenye Taarifa Kuhusu LAPF Vacancies

Mwenye Taarifa Kuhusu LAPF Vacancies

maize

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
22
Reaction score
1
Habari wana JF.

Hawa jamaa waliita watu kweli kwenye interview ya pili baada ya ile tuliofanya DUCE?

Mwenye taarifa wadau.
 
Habari wana JF.

Hawa jamaa waliita watu kweli kwenye interview ya pili baada ya ile tuliofanya DUCE?

Mwenye taarifa wadau.

Watu wanafanya oral interview sasa mdau, so sad hata mimi sikuitwa
 
Yap J3 ilikua oral pale LAPF Millenium Towers Makumbusho
 
Habari wana Jamii Forum? Hivi ile interview ya written ya LAPF tuliyofanya mwaka jana mwishoni pale DUCE majibu yalishatoka? Kwa mwenye taarifa msaada tafadhari
 
Habari wana Jamii Forum? Hivi ile interview ya written ya LAPF tuliyofanya mwaka jana mwishoni pale DUCE majibu yalishatoka? Kwa mwenye taarifa msaada tafadhari

Oral interview inaendelea as we speak, ukiona kimya ujue hukufanikiwa
 
Back
Top Bottom