Lile agizo la jana la spika wa bunge kuitaka serikali kuja na kauli juu ya hatima ya wanafunzi wengi kukosa mikopo na wengne kutakiwa kulipa kwanza ndo wasajiliwe.
Lile agizo la jana la spika wa bunge kuitaka serikali kuja na kauli juu ya hatima ya wanafunzi wengi kukosa mikopo na wengne kutakiwa kulipa kwanza ndo wasajiliwe.
Huyu waziri hajajibu hoja ya spika! Suala alilotaka spika litolewe majibu na serikali ni: Kuhusu vyuo kutoza administrative fees wengine huiita other fees au other direct costs to the university ambazo huwa hazipo kwenye boom! Lakini ni mpaka uzilipe ndio usajiliwe! Sasa spika alikuwa anahoji kuwa kwa mwanafunzi ambaye hana uwezo, na amepewa mkopo, lakini hicho kipengele hakipo kwenye boom, huyo mwanafunzi anasaidiwaje? Mara nyingi wanafunzi hukopa kwa wenzao halafu boom likitoka wanalazimika kulipa kwa kutumia boom halafu wanashindia chips dume na maji ya viroba!
Tulitegemea kuwa waziri angepiga marufuku hizo gharama za kificho kama administrative fees au hicho kipengele kingeongezwa kwenye boom!
Naomba spika akomae zaidi na aitake serikali ijibu hoja kikamilifu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.