Yupo msasani karibu na kwa warioba. Watoto wake mission town kwa sasa.Muulize Ally Choki,nyamayao host .....Iddi Janguo oh nyamayao host.
DG wa TPANadhani aliwahi kuwa Board Chairman wa Shirika la reli au Bandari.
Hao watoto wake walisumbua sana miaka ya 90 hasa Iddi
DG wa TPA
Alikuwa Bandari Makao Makuu!!Nafikiri alikuwa DG wa shirika la reli.
Tiba
Ni Iddi alifoji finger print alijifanya mkimbizi kutoka Rwanda.
Duh watu mpo makiniyour lips.....
sure mkuu.Nchi imeanza kuliwa siku nyingi aisee kwa style hii tutafukua mpk makaburi tuzihukumu maiti
yule atakuwa mwanaweMimi nilidhani ni yule Janguo aliyekuwa akitajwa na Twanga Pepeta! Kumbe ni Janguo huyo, Mh. jafo atakuwa anafahamu alipo.
Yap aliwahi kuwa...ila mi nimeijulia hapa hapa kwenye huu uziAthumani Janguo si aliwahi kuwa DG wa Bandari, au kumbukumbu zangu zinaanza kupotea!
Hujakosea kiongoziAthumani Janguo si aliwahi kuwa DG wa Bandari, au kumbukumbu zangu zinaanza kupotea!
Wapo wapi siku hizi??Hao watoto wake walisumbua sana miaka ya 90 hasa Iddi.
Wapo hapa Dar! Wanashughuli zao mbalimbali.Wapo wapi siku hizi??