Okay asante kwa taarifaWapo hapa Dar! Wanashughuli zao mbalimbali.
Huyu sio kuwa alifariki?? Kama nakumbuka kuna taarifa ya kifo chake imewahi letwa humu.Nami ngoja niulize, hivi yule mtangazaji wa redio Tanzania Dar es saalam Ezekiel Malongo saivi yuko wapi!!! Alikuwa anatitirika kwenye michezo mpara raha.
KWELI KABISA . ...YEYE NDIYO ALIANZISHA BALAA YOTE . ..ASHINDWE NA ALEGEE MILELE NA BANDARI YETU IRUDI SALAMA MILELE YOTE . ..DG KAZA BUTI . ..Mwanzo mwanzo wa ukora unao isumbua Bandari ya Dsm mpaka leo!
Hapo ndipo balaa lilianza . ..lakini hakuna baya lisilo na mwisho . ..MAULANA MOLA WETU RHABUKA NI MWAMINIFU SANADG wa TPA
Walirudu na ma limousine wakawa wanakodisha . .duh balaa tupu!Alipokuwa mbunge wa Kisarawe aliwahi kunyimwa visa ya kwenda U.S.A. kwasababu mmoja wa watoto wake alikuwa amefungwa jela kule; sijui ni nani kati yao!! Wabeba mabox wanajua nini alifanya alipokuwa kule.
HahahahaJamii forum ni zaidi ya Britannica Encyclopedia!
Athumani Janguo si aliwahi kuwa DG wa Bandari, au kumbukumbu zangu zinaanza kupotea!