Mwenye software ya SPSS(Statistical Package for the social sciences)

Mwenye software ya SPSS(Statistical Package for the social sciences)

mobakha

Senior Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
100
Reaction score
21
Wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program, nimejaribu kudownload lakini ckufanikiwa. naomba sana msaada kutoja kwenu niweze kupata hii kitu. may God bless yhu all!
 
uko wapi wewe.? Mimi ninayo, nipo moro kwa mda but pc yangu nimeiacha mwanza, nitaludi mwanza next week.
 
uko wapi wewe.? Mimi ninayo, nipo moro kwa mda but pc yangu nimeiacha mwanza, nitaludi mwanza next week.

Utakuwa umetusaidia wengi.Hata miye ninaihitaji nataka nianze MA katika chuo huria -OUT
 
Nina

SPSS 16, SPSS 20 na SPSS 22

Nipo Dar.

.,....hizi zinasaidia sana wakati wa kuandaa na kuwasilisha taarifa za tafiti. Nilikuwa na version ya 15 lakini namshauri mdau akuone. IPO pia inaitwa amos
 
si mwenyeji Dar ila ninae mtu je naweza kumtumia ili tuwasiliane@bull
 
.,....hizi zinasaidia sana wakati wa kuandaa na kuwasilisha taarifa za tafiti. Nilikuwa na version ya 15 lakini namshauri mdau akuone. IPO pia inaitwa amos

Anakaribishwa mkuu
 
Haina noma, aje tu

Serikali yetu ingekuwa na watu wenye kujitolea kama wewe,Nchi hii ingekuwa juu sana kimaendeleo.
Keep it up ndugu kwa roho ya kujitolea.Wengine tuige mfano huo.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom