sajosojo JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 1,024 Reaction score 638 May 9, 2014 #1 nahitaji kunlock simu yangu ya huawei ascend y 300 inayotumia laini ya tigo tu niweze kutumia laini zote. please i need your help
nahitaji kunlock simu yangu ya huawei ascend y 300 inayotumia laini ya tigo tu niweze kutumia laini zote. please i need your help
bona JF-Expert Member Joined Nov 6, 2009 Posts 3,798 Reaction score 1,444 May 9, 2014 #2 watu wengi wanataka huu msaada vp kina chief mkwawa na njunwa mbona kimya?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 May 9, 2014 #3 Njia iliyo salama ya ku unlock hizi ASCEND Y300 ni kutumia NCK CODE Hizi codes zinauzwa Pia waweza zipata kupitia huu uzi hapa: HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number - Page 4 KARIBU sajosojo said: nahitaji kunlock simu yangu ya huawei ascend y 300 inayotumia laini ya tigo tu niweze kutumia laini zote. please i need your help Click to expand... bona said: watu wengi wanataka huu msaada vp kina chief mkwawa na njunwa mbona kimya? Click to expand...
Njia iliyo salama ya ku unlock hizi ASCEND Y300 ni kutumia NCK CODE Hizi codes zinauzwa Pia waweza zipata kupitia huu uzi hapa: HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number - Page 4 KARIBU sajosojo said: nahitaji kunlock simu yangu ya huawei ascend y 300 inayotumia laini ya tigo tu niweze kutumia laini zote. please i need your help Click to expand... bona said: watu wengi wanataka huu msaada vp kina chief mkwawa na njunwa mbona kimya? Click to expand...