Mwenye pesa si mwenzako

Poli wametulia tulii.
Hapo ningekuwa ndo mie yaani tayali nshapigwa virungu mpaka adabu inishike.
Nimeamini umasikini ni dhambi isokuwa na toba.
 
Kudadadeki ngoja niongeze mbinu ili siku moja na mimi niwe nazo za kutosha
 
List Mpya bado ila watu wanasubiri Kwa hamu yule aliewahi kutajwa na SLAA kama atakuwemo.
 
ungeanza na neno kaka yangu ndugu yangu rafiki yangu .... naomba nikukute central
huwezi kusema mimi ni ndugu yako au kuniita kaka halafu unanihusisha na mdawa ya kulevya-MANJI
 
Reactions: MC7
Pesa mbaya sana, hao polisi mmoja kaweka mkono shavuni mwingine ndo hana hamu kabisa
 
Lakini kunatofauti kubwa bado: Angalia mavazi yao. Unajua ukiwa nadhifu hata heshima inakuja yenyewe lakini ukivaa kihuni kihuni kwa makosa watakuhesabu ni muhuni.

Sykolojia inatambua fact hii Kwamba "Mavazi huongea Waziwazi".
wewe ni mchochezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…