Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
- Thread starter
- #141
Nina Ak47 ya mjomba hapa chumbani. Nitaitumia kufanya hivo.!
!
Kanunue Bunduki Halafu Jumamosi Moja Asubuhi Unaisafishasafisha
Nina Ak47 ya mjomba hapa chumbani. Nitaitumia kufanya hivo.!
!
Kanunue Bunduki Halafu Jumamosi Moja Asubuhi Unaisafishasafisha
Napenda kulipa rafiki. Lakini ndio hivo mifuko imetoboka.Dawa ya deni kulipa. Jiweke nafasi ya huyo mwenye nyumba halafu jiulize ungekutana na mpangaji type yako ungefanyaje
Dahh,hii kutu si ya nchi hii!!!Sasa hv kuna watu wanaanzisha kampuni za uwakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya wenye nyumba kama wafanyavyo MAJEMBE na YONO. mpangaji unasaini mkataba tarehe ikifika hujatoa kodi chumba kinatiwa kofuli unaanza kutozwa riba 30% ya kodi ya miezi mitatu, sita au mwaka (kulingana na makubaliano yenu) kwa siku 7 (kama umesoma sequence and series hapo nadhani unaelewa maana yake ni kuwa kodi inajizidishaje, yani kama ulikuwa unadaiwa laki 3 baada ya siku 7 unatakiwwa ulipe zaidi ya milioni). Baada ya hapo kama umeshindwa kutoa hiyo pesa unakamatwa na mavitu yako yanatolewa nje yanauzwa kwa mnada wakati huo wewe uko polisi unahojiwa tayari kwa kufikishwa mahakamani.
Itafika mahali heshima ya wenye nyumba itarudi.
Kamloge ugonjwa wa kusahau cc Mshana JrJamani ile sheria ya kulipa kodi mwezi mmoja imeshapitishwa?
Hapa nyumbani mwenye nyumba ananiletea mapicha picha yaani simuelewi kabisa na ukizingatia leo ndio kwanza tar 17 yaani kuna wiki mbele ili mwezi huu uishe.
Na mwenye nyumba story zake zisielewi kabisa yaani. Ki ukweli ananidai deni la miezi mitatu na mimi nimemwambia vyuma vikilegea nitampa ila hataki kunielewa.
Mbaya zaidi nimemsikia Waziri wa elimu anasema wale tuliopewa mkopo wa elimu ya juu tulipe madeni yetu.
Wakuu ningeomba tupeana mawazo mawili matatu jinsi ya kumpanga huyu Landlord wangu.
Nafwa mwenzenu.
1.Nakala moja apewe stone
2. Nyingine lucuvi
3. Nyingine Ndelicharcoal.
Kijana nilipe tu pesa yangu tumalize salama! Kumbe huwa unakuja kuchukua ujuzi huku na unafikri mimi huwa sifiki huku? Tafadhali tuheshimiane kabisaaaa!Jamani ile sheria ya kulipa kodi mwezi mmoja imeshapitishwa?