Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Mwenye nyimbo ya MB Dogg inaitwa Tip Top ft Tip Top connection ya 2005 kama. Mwenye hiyo nyimbo msaada
Ahsante sanaUlikua ni wimbo wa kundi zima sio wake pekeake Mb Dog,yeye alisimamia kiitikio.
Kuna nyimbo dogo ditto anaimba kiitikio hivi "subiri nikuambie eeeh" siikumbuki vizuri lakin dogo ditto anaimba kiitikio, je unaikumbuka na unayoUlikua ni wimbo wa kundi zima sio wake pekeake Mb Dog,yeye alisimamia kiitikio.
Bado sijaikumbuka vizuri hiiKuna nyimbo dogo ditto anaimba kiitikio hivi "subiri nikuambie eeeh" siikumbuki vizuri lakin dogo ditto anaimba kiitikio, je unaikumbuka na unayo