Tumalizie charge kwa kutaja nyimbo za kibongo 5 ambazo ni "TIMELESS"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Naona Tanesco leo karibia nchi nzima wameamua kufanya yao hadi usiku huu. Najua simu zitakuwa zimebaki 8%.

Anyway, huwa kuna nyimbo chache za zamani ambazo zikipigwa hata leo unapata vibe ambayo haichuji.

Zangu ni:

■Seya ya papii na nguza
■naksh naksh ya kiba
■she got a gwan ya ngwair
■kimya kimya ya jay mo
■mapenzi ni kitu gani ya mb dogg

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
TAFUTA HIZI HUTOJUTA.

-Kama unataka demu -Jay moe.
-Sikiliza - Ngwea ft lady jay dee na Mwana FA.
-Uaminifu -Matonya.
-Elimu ya mjinga -Banza.
-Umri - Wanaume T.M.K
 
Back
Top Bottom