Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 451
i feel it. Hakika maisha yanatuonyesha kila rangiNi matumaini Yangu kuwa wote ni wazima.
Niende kwenye mada moja Kwa Moja.
Mm ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo Chuo moja kikuu apa Tanzania jijini dar es salaam nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana Yenye jumla ya watoto tisa Huku mm ni wakwanza yaan first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufup familia na wadogo zangu nane wananitazama mm kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msomgo mkali sana wa mawazo. Nawaza sana mwakan takapo maliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nili bahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakn kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbil nusu na Baki nayo nusu natuma nyumbani.
Wana bodi nahis maneno haya hayawEzi eleza na cho taka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lkan sonona nahis inanitafuna.
Nataman nikimbilie south Africa kujariby bahati yangu.
Muwe na asubuh njema apa nipo njian naelekea shule maan tupo Field lakn AKil haipo Sawa
Kama ukiweza kumwona kabla ya kwenda SOUTH itakusaidia Cc@Mwigulu nchembaNi matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku mimi ni wa kwanza yaani first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufupi familia na wadogo zangu nane wananitazama mimi kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msongo mkali sana wa mawazo.
Nawaza sana mwakani nitakapomaliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nilibahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakini kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbili nusu nabaki nayo nusu natuma nyumbani.
Wanabodi nahisi maneno haya hayawezi eleza nachotaka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.
Kua makini usije ukatuchapia watoto wetu huko shule na stress zako😌,,,,
Ila pambana tu usikate tamaa hamna maisha marahisi🙌
😃🤔🤣🤣🤣🤣Si hata ww umeona akili zako lkn zinawaza nn?
Naamanisha asije akawachapa fimbo kuwaumiza😃Ana stress huyo hawezi dinya ovyo binti zako
Kama suala ni kujaribu bahati Yako, kwanini usiijaribie hapa?umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Ukimaliza chuo,nenda veta kozi fupi ya ufundi yakukuweka mtaani,ukishindwa jifunze hata kupaka kucha na kubandikaNi matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku mimi ni wa kwanza yaani first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufupi familia na wadogo zangu nane wananitazama mimi kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msongo mkali sana wa mawazo.
Nawaza sana mwakani nitakapomaliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nilibahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakini kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbili nusu nabaki nayo nusu natuma nyumbani.
Wanabodi nahisi maneno haya hayawezi eleza nachotaka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.

Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.tumeumbiwa wat
Heri Yako una miguu unatamani kupata viatu.Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Niende kwenye mada moja kwa Moja.
Mimi ni Kijana wa kitanzania na hivi sasa nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania jijini Dar es Salaam, nachukua shahada ya kwanza ya ualimu sayansi.
Natoka katika familia ya kawaida sana yenye jumla ya watoto tisa huku mimi ni wa kwanza yaani first born.
Hali ya uchumi ya wazazi ni duni sana hadi kufika hapa kwa Kweli ni kwa neema tu, kiufupi familia na wadogo zangu nane wananitazama mimi kama mkombozi. Hali unanifanya niishi kwa msongo mkali sana wa mawazo.
Nawaza sana mwakani nitakapomaliza chuo maisha yangu yatakuwaje? Familia na wadogo zangu tawashikaje mkono? Moyo wangu una madonda mabichi sana.
Nilibahatika kupata mkopo wa elimu ya juu lakini kwa hali ya nyumbani pesa yangu ya meals and Accomodation yaan boom huwa naikata mara mbili nusu nabaki nayo nusu natuma nyumbani.
Wanabodi nahisi maneno haya hayawezi eleza nachotaka kufikisha kwenu.
Na umri mdogo lakini sonona nahisi inanitafuna. Nataman nikimbilie South Africa kujaribu bahati yangu.
Muwe na asubuhi njema, hapa nipo njiani naelekea shule maana tupo Field lakini akili haipo Sawa.
Akapake kucha akina Leejay49 ni rahisi na Haina mtaji mkubwa ila Hela ni NeneMaisha hayajawahi kua marahisi ila kama chuo unachosoma kina vipindi vya jioni kwa waliopo makazini ni bora uswitch kutoka full time kwenda TNC then mchana unatafuta pa kujibanza jion unazama chuo!
Uzuri wake mnasoma mda mfupi lkn pia kusoma na wale waliopo kazini ni rahis wakakuonesha njia ya kutokea maana wana uzoefu mzur mtaani
Ngono ndo Faraja ya maskiniSijui kwanini masikini wanapenda kuzaa watoto wengi...watoto 9!!
Pole,pambana
Ni idea nzuri,, tatizo hawa vijana wa sikuizi wakishakuaga na degree tu hivyo vitu wanaona sio level zao...na ofcourse biashara ya kucha inalipa kama yupo mjiniAkapake kucha akina Leejay49 ni rahisi na Haina mtaji mkubwa ila Hela ni Nene
Mimi nikikosaga Hela za kubetia huchukua kapu langu la rangi,nazama vijijini huku Tanganyika ambako hawanifahamu,nikipiga deiwaka ya jumamosi na jumapili sikosi 100k
Kupaka kucha 2k mpaka 3k
Kubandika kucha ni kati ya 5k mpaka 10k
Malala gesti safi,nakula Milo safi na utelezi napata bila kutongoza
Ikifika Jumatatu narudi zangu kushika chaki